Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

Pole sana...
Inasikitisha sana...
Rushwa ya ngono imeshamiri kila mahali, haswa ma-boss wa kiume wananyanyasa sana wafanyakazi wa kike...

Akili kichwani kwako, maisha ni ya kwako... Amua vile wewe utakavyoona sawa...

Cc: mahondaw
 
Habar zenu

Bila kuwachosha,Baada ya kusota sana mjini kwa kutafuta kibarua nilikata tamaa kabisa ya kupata kibarua na kuamua kurudi kijijini,kama mnavyojua familia zetu nyingi za kiafrika mtu ukienda mbwinde unavyo chaa kwa kubeba kuni huku unatembea bea(bila viatu)ndo raha yani na ule moshi sasa ndo dooh unafanya unazid kuchoka.

Hata hvyo nilikaa kwa kipindi kifupi tu,Siku moja asubihu na mapema nikapata ujumbe kutoka kampuni x niende kwa ajili ya interview,aaah nilichukulia poa nikasema Sijui nisiende maana nimeshafanya kama 20 hiv,fine nikajishaur nikaona ngoja niende tu ya Mungu mengi bana

Nilifanikiwa kuwasili na kufanya kilichonipeleka na bila kuchelewa nilijibiwa kuwa nimelita (nimepata kazi)

Nilianza kazi lkn sura yangu ilikuwa imechoka sana ule uzuri wa cocoa butter ckuwa nao,Nashkr pia nilipata Boss mwenye upendo na alijua nimetoka kwenye hali gani hvyo akanipa pesa ya matumizi yaani nje kabisa ya mshahara wangu

Baada ya wiki moja kukatokea safari ya kwenda mkoani huko na boss alinichagua mm ndo nikawakilishe,lkn tunaenda wote mm na yeye.
Tulisafiri tukiwa wawili tu kwenye gari hadi mkoani Mbeya lkn tukiwa njiani boss alianza kufunguka anachohc yeye moyon mwake me nilampotezea asiee nilijua anatania kwanza maana ni very charming

Tulimaliza vema kilichotupeleka na ilipofikia usiku saa mbili hv tukaenda sehem kupata chakula kabla hatujashuka kwenye gari alifunga madirisha yote na wala sikushtuka nilijua kwavile tunashuka khaaaa nafungua mlango haufunguki namwambia mbona mlango hufunguki doooooooh boss kabadiliikaaaa suruali imevimba macho kama analia,sauti haimtok vizur kama mwanzo
Boss alinilazimisha saaaaana (dfxascgg)bila mafanikio yoyote lkn hakukata tamaa aisee tulipigana na ckuamini nimeutoa wapi ule ujasiri kulikuwa na chuma kidogo cha kunyanyua kufanyia mazoez nilikuchukua nikapasua dirisha la gari,khaaaaaaaa bado tu ananiganda nikaanza kupiga kelele sasa akawa kama amechanganyikiwa huku amejikata na kioo mm pia niliumia kidogo mkononi ila nikafanikiwa kufungua mlango nikatoa mbarutiii hizooo

Nilitafuta sehem ya kulala tofaut na pale tulipofikia bahat nzur kazi tulishamaliza hvy ilipofik asubuh nilipanda bus nikarud zangu
Ni cku ya tatu tangu leo tangu nirud nawaza kazi cjui itakuaje maana cjakanyaga na boss cjui yu hali gani napigiwa simu kazini imekuaje kwani mbona boss amerudishwa na dereva pia presha imeshuka sana na kavamiwa na majambazi kachanika mokononi mm nilikuwa wapi wakati huo mbona nimerud nipo kimya kwahy naambiwa niende boss ananiita na gari ipo polisi

Naogopaa hata cjui nifanyeje hasira hizi zinaniponza sasa naona dalili ya kibarua kuota nyasi na kusudi kijijini hii sio shida saaana kama sio kwenda rumande kabisa
Cjui nani ataniamini huko
Muwekee kijimtego akubake, ila usikubali iingie kisha kesi yake kubwa pesa utakayolipwa huitaji kazi tena uje nikuoe maisha yaendelee.
 
Kwanza nikupe hongera kwa ushindi, pia nikupe pole Kwa majanga hayo mazito Sana,
Ushauri: Piga moyo konde na uende umsikilize kwa makini akitokea kukutishia naomba usiogope mwambie mungu kila kitu kwa kusali ikitokea akakuweka rupango jikaze na usitumie hasira zozote ila sema ukweli wote na usifiche hata chembe halafu utasumbuliwa na mungu atasimama upande wako na utatoka, kuhusu kazi mungu bado yupo kwenye mpango wa kukupa kazi na nzuri kuliko hiyo, hapo alikuwa anaaangalia imani yako kuwa je utauza utu wako kwa kazi alokupa mungu? Hivyo tambua popote ulipo mungu yupo, jitahidi kuwa katika ibada maalum kwa vvipindi tofauti hakika Allah ni mwenye kuwa karibu na mja mwenye subra, pole Sana tena saana
 
Nawaza hivyo aisee
Utakuwa upo sahihi kabisa mungu atamuumbua kwa mabaya yake, kwanza jiulize ufisi yenu ina wanawake wangapi? Halafu je kama wote wanaopata kazi hapo anakula unafikiri kala wangapi, Na kwa staili hiyo hata kinga hatumiagi maana Ni Mtu wa kuvamia take care mama
 
Hapana cjaolewa Ila kazi nahiitaji maana hali tete ndo hvyo sasa nitafanyaje kazi kwa mashaka
Usimpe ushindi katika tamaa yake, na usiache kazi mwenyewe mpaka ufukuzwe na usifukuzwe kwa mdomo hakikisha anakupa barua ya kukufukuza kazi halafu uone inaandikwa unafukuzwa kwa kosa gani? Huyo atakuwa anakuita ili myamalize na usimwambie mtu ukweli ila jenga imani kwa mungu mlezi wa wote hakika utashinda na kila kitu kitaenda vema
 
boss ni mwanaume kwenye jamii kama wanaume wengine.hata ww unaweza kuwa boss,je vijana wenzio wakuvunjie vioo? angalia sana kurupu zako.we muangalie kwa vigezo vya mwanaume kama atafaa kuwa wako au laa.lakini we umetanguliza inferiority mbele wakati hujaolewa.huyo c boss ni mwanaume anakuhitaji watch it!.au umerogwa kwenu wamekuombelezea ukatae vijana charming kama ulivyosema mwenyewe.waganga wa kienyeji wanakuita we kubali kurudi kwenu kizembe.sali sana mungu akufunulie uzuri wa huyo kaka.
 
nili reply kabla sijapitia za wengine.nimegundua kumbe unasumbua akili na muda wa wenzio kushauri kitu ambacho hakipo.unasikia raha gani kuwa muanzisha mada za uongo? hivi hujui kama kuna wenye matatizo ya kweli wanahitaji umakini wetu.I feel sorry for you my dear,you real make me regret to listen to your dilemma.
 
ni kwamba ulikua unamuonea huruma kwa gonjwa ulonalo auu
 
Unakua kama chizi vile umeshindwa kumpa Maneno laini akalainika mpaka unamjeruhi MTU kiasi hicho kaa nyumbani sasa
 
Nyinyi mabinti ambao hamjui kumaliza matatizo kwa akili kubwa ndiyo huwa mnaishia kufanya mapenzi na mbwa au houseboy. Nyooo uliambiwa sauti nyororo isingeweza kumwacha boss na matumaini?
 
Back
Top Bottom