Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

Boss wangu ananihitaji kinguvu sijui nifanyaje.

Yan umeitwa kazini baada ya wiki unachaguliwa kwenda kuwakilisha mkoani. Mmmh kwa maexperience gan na ulikua bush. Hapa umetuibia.

Na ukiwa mkoa kama wa mbeya usiku sidhani kama madirisha hua yanaachwa wazi. Na nguo zako ulizirudia mbeya?
Utendaji wa kazi +kujiamini

Sio wote wanao kumbuka Hilo

Nguo za nn tena ckuwa na huo muda kwanza wa kuwaza kuzifata nguo mbili
 
Habar zenu

Bila kuwachosha,Baada ya kusota sana mjini kwa kutafuta kibarua nilikata tamaa kabisa ya kupata kibarua na kuamua kurudi kijijini,kama mnavyojua familia zetu nyingi za kiafrika mtu ukienda mbwinde unavyo chaa kwa kubeba kuni huku unatembea bea(bila viatu)ndo raha yani na ule moshi sasa ndo dooh unafanya unazid kuchoka.

Hata hvyo nilikaa kwa kipindi kifupi tu,Siku moja asubihu na mapema nikapata ujumbe kutoka kampuni x niende kwa ajili ya interview,aaah nilichukulia poa nikasema Sijui nisiende maana nimeshafanya kama 20 hiv,fine nikajishaur nikaona ngoja niende tu ya Mungu mengi bana

Nilifanikiwa kuwasili na kufanya kilichonipeleka na bila kuchelewa nilijibiwa kuwa nimelita (nimepata kazi)

Nilianza kazi lkn sura yangu ilikuwa imechoka sana ule uzuri wa cocoa butter ckuwa nao,Nashkr pia nilipata Boss mwenye upendo na alijua nimetoka kwenye hali gani hvyo akanipa pesa ya matumizi yaani nje kabisa ya mshahara wangu

Baada ya wiki moja kukatokea safari ya kwenda mkoani huko na boss alinichagua mm ndo nikawakilishe,lkn tunaenda wote mm na yeye.
Tulisafiri tukiwa wawili tu kwenye gari hadi mkoani Mbeya lkn tukiwa njiani boss alianza kufunguka anachohc yeye moyon mwake me nilampotezea asiee nilijua anatania kwanza maana ni very charming

Tulimaliza vema kilichotupeleka na ilipofikia usiku saa mbili hv tukaenda sehem kupata chakula kabla hatujashuka kwenye gari alifunga madirisha yote na wala sikushtuka nilijua kwavile tunashuka khaaaa nafungua mlango haufunguki namwambia mbona mlango hufunguki doooooooh boss kabadiliikaaaa suruali imevimba macho kama analia,sauti haimtok vizur kama mwanzo
Boss alinilazimisha saaaaana (dfxascgg)bila mafanikio yoyote lkn hakukata tamaa aisee tulipigana na ckuamini nimeutoa wapi ule ujasiri kulikuwa na chuma kidogo cha kunyanyua kufanyia mazoez nilikuchukua nikapasua dirisha la gari,khaaaaaaaa bado tu ananiganda nikaanza kupiga kelele sasa akawa kama amechanganyikiwa huku amejikata na kioo mm pia niliumia kidogo mkononi ila nikafanikiwa kufungua mlango nikatoa mbarutiii hizooo

Nilitafuta sehem ya kulala tofaut na pale tulipofikia bahat nzur kazi tulishamaliza hvy ilipofik asubuh nilipanda bus nikarud zangu
Ni cku ya tatu tangu leo tangu nirud nawaza kazi cjui itakuaje maana cjakanyaga na boss cjui yu hali gani napigiwa simu kazini imekuaje kwani mbona boss amerudishwa na dereva pia presha imeshuka sana na kavamiwa na majambazi kachanika mokononi mm nilikuwa wapi wakati huo mbona nimerud nipo kimya kwahy naambiwa niende boss ananiita na gari ipo polisi

Naogopaa hata cjui nifanyeje hasira hizi zinaniponza sasa naona dalili ya kibarua kuota nyasi na kusudi kijijini hii sio shida saaana kama sio kwenda rumande kabisa
Cjui nani ataniamini huko
Wait a minute! Wewe huaminiki ni muongo mkubwa. Hii story ni ya kutunga kwa vile umezoea kudanganya.
1. Tarehe 05/09/2016 ulikuwa unatafuta kazi yeyote ili isipokuwa UBeki tatu. Qualification zako zilikuwa ni Diploma ya Procurement , Certificates za Business Admin na Law. ( Natafuta kazi )
2. Kabla hata mwaka kupita tarehe 05/02/2017 ukaomba kazi wakati huo ukiwa na Bachelor ya Information Technology ( Natafuta kazi Nina Bachelor /Information Technology )
3. Tarehe 29/09/2017 ulipotaka tukushauri kama uzae na mme wa mtu ulidai huna kazi ( Ushauri: Anataka kuzaa na mimi hali ya kuwa ana mke

Niendelee nisiendelee CC Sakayo , Shunie
 
Ukimaliza nishtue
 
Naona bosi wako atakuwa muhenga, enzi zetu ni kuviana kama hivyo...

Binti akitoka kisimani au kuteka kuni, unamvutia kichakani unamaliza shughuli na wala haendi kusema ingawaje ni kwa mbinde kama hivyo...

Siku mbili tatu anaanza kukuita mchumba na unajilia bila purukushani kama mwanzo...
 
Anza kunijibu ili tukuamini! Upo tayari?
Natamani nikujibu tena vizuuuri tu ila naona kama haina haja pia kwasababu sitaki mtu aniamini na ndo maana nikatumia I'D fake so it's it option kuamini au kutoamini,kutoa ushaur au kutoa povu

Karibu
 
Mabosi wengine ni waajabu, pole sana endelea na kazi yako pamoja na msimamo wako mpaka atakapokufukuza kazi. Huenda baada ya kuona msimamo wako atakuheshimu. Hata kama atakufukuza kazi ni mahali popote
 
Natamani nikujibu tena vizuuuri tu ila naona kama haina haja pia kwasababu sitaki mtu aniamini na ndo maana nikatumia I'D fake so it's it option kuamini au kutoamini,kutoa ushaur au kutoa povu

Karibu
Aksante sana tumekusoma jipange upya
 
Mabosi wengine ni waajabu, pole sana endelea na kazi yako pamoja na msimamo wako mpaka atakapokufukuza kazi. Huenda baada ya kuona msimamo wako atakuheshimu. Hata kama atakufukuza kazi ni mahali popote
Ahsante sana
 
Natamani nikujibu tena vizuuuri tu ila naona kama haina haja pia kwasababu sitaki mtu aniamini na ndo maana nikatumia I'D fake so it's it option kuamini au kutoamini,kutoa ushaur au kutoa povu

Karibu
Mtu unawezaje kuiamini I'D fake kwa kila kitu anachopost au wanahisi story zote humu JF ni za kweli

Me naona katka kila story mtu atakapo toa ushauri lazima kutakuwa na fundisho tu hvyo mwenye akili atajifunza kupitia story yako asiyenazo hawezi elewa kitu habari ya kusema muongoo Sijui nn cjawahi kumuona mtu mkweli

Achana naooo
 
Back
Top Bottom