BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
- Thread starter
- #41
Nimeipenda hii, acha nijiweke sawa niondoke 'utumwani' Bondpost
Immediate boss wangu alikuwa msumbufu sana na alikuwa mnyanyasaji sana, nilimvumilia kwa miezi sita siku aliponikera na kunifika kooni nilienda ofisini kwake, nikafunga mlango, nikamwambia tupo mie nae tu, namdunda na hatakuwa na ushahidi huku nishamkunja. Dogo akaona pagumu akaniomba msamaha sana. Nikamwomba msamaha pia lakini nikamsisitiza tuheshimiane. Kuanzia siku hiyo amekuwa na adabu. Mtu namfanyia kazi mpaka anazotakiwa kufanya yeye then yeye anapata sifa ya department, halafu analeta dharau. Endeleeni kuwaogopa mabosi zenu watawafanya muwe wake zao, kama una elimu yako nzuri huna haja ya kuwa mtumwa kiasi cha kudharauliwa. Nashukuru mungu niliachana na kumtumikia mtu, sasa am the boss na wafanyakazi saba tunapiga kazi ya tours naenjoy nachokifanya, driver akinizingua naendesha mwenyewe, elimu inanisaidia kuandika na kufanya maamuzi.
Last edited by a moderator: