Boss wako akikuudhi unamfanyaje?

Point ya msingi sana hii....ndo maana nikaamua nitoke nikafanye shughuli zangu ili hasira ipoe


Daima, mtaka cha uvunguni, lazima ainame. Inategemea uko vp kimaisha. Lakn kama maisha yako ndo yana tegemea chanzo hcho kwa kipato, ni bora kuvumilia. Kwani hakuna maisha dunia hii yasiyo na changamoto. Wangu mtazamo.
 
dah,me mwenyewe imenitokea j5 ya juz bos ananigombesha cpo ofcn wakt ni lunch time. me nimeamua kuvumilia while seeking for capital ili nijiajir. dah nlichukia sana
 
dah,me mwenyewe imenitokea j5 ya juz bos ananigombesha cpo ofcn wakt ni lunch time. me nimeamua kuvumilia while seeking for capital ili nijiajir. dah nlichukia sana

kweli kuajiriwa utumwa....... Acha nikakope niongeze mtaji....
 
Tar 15 boss nae anakua na frustration, hivyo anajifungia ofsn, vimeo vyote nahangaika navyo mwenyewe

tehtehteh King'asti bwana, mie hata sikujua kuwa tarehe zetu zilllllleeeeeeee zimefika loh....


Hehehe! Kumbe una jeuri ya pesa eeh? Hivi boss wako anakuudhigi tarehe 15? Lol
 
Last edited by a moderator:
Immediate boss wangu alikuwa msumbufu sana na alikuwa mnyanyasaji sana, nilimvumilia kwa miezi sita siku aliponikera na kunifika kooni nilienda ofisini kwake, nikafunga mlango, nikamwambia tupo mie nae tu, namdunda na hatakuwa na ushahidi huku nishamkunja. Dogo akaona pagumu akaniomba msamaha sana. Nikamwomba msamaha pia lakini nikamsisitiza tuheshimiane. Kuanzia siku hiyo amekuwa na adabu. Mtu namfanyia kazi mpaka anazotakiwa kufanya yeye then yeye anapata sifa ya department, halafu analeta dharau. Endeleeni kuwaogopa mabosi zenu watawafanya muwe wake zao, kama una elimu yako nzuri huna haja ya kuwa mtumwa kiasi cha kudharauliwa. Nashukuru mungu niliachana na kumtumikia mtu, sasa am the boss na wafanyakazi saba tunapiga kazi ya tours naenjoy nachokifanya, driver akinizingua naendesha mwenyewe, elimu inanisaidia kuandika na kufanya maamuzi.
 
hapo kuna wengine huwa wanaamishia ugomvi nyumbani kwa mkewe/mumewe ila Mimi huwa bosi akiniudhi naenda chooni natukana kinoma nikiona nimeridhika narudi kupiga kazi kama kawa
 
hapo kuna wengine huwa wanaamishia ugomvi nyumbani kwa mkewe/mumewe ila Mimi huwa bosi akiniudhi naenda chooni natukana kinoma nikiona nimeridhika narudi kupiga kazi kama kawa

Ha ha ha ha! Sasa ukirudi ofisini ukigongana nae uso kwa uso si unaweza kucheka! Maana umemmwagia mitusi yote ye hajui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom