BOSS na DEREVA laivu....!!!!

Hao nao mafala,mpaka wanashuka kwenye gari?
"
Si wangehamia siti ya nyuma halafu wakamaliza game huko??
"
Au ile ile siti ya mbele,woman on top ingewafaa kabisa tena bila shida . . . . . .Lol!
 
this is free country wacha wale raha zao nahao polis waMBEA2
 
inzo ndo adventager meku...kumbukumbu kama hizo hazipotei kichwani mjomba,kama ku du porini,uwanjani,mnasafiri kwenye gari private mnapiga kituo njiani mna banjuka tu.disco kwenye masofa gizani.zote stare
 
Wale polisi ukizoeana nao wanapiga stori na kukutajia wahanga wote waliowahi kuwakamata ambao wana majina yumo Waziri Mmoja tena anewahusu wao mapolisi walimtoa (akiwa waziri wa Habari) wakamtoa laki3 pale pale!
 
Hao nao mafala,mpaka wanashuka kwenye gari?
"
Si wangehamia siti ya nyuma halafu wakamaliza game huko??
"
Au ile ile siti ya mbele,woman on top ingewafaa kabisa tena bila shida . . . . . .Lol!

Siti ya nyuma? yaani wadhani hawa wamwela hawajui? Kajaribu uone......jamaa wako makini sana aseee!
 
Hao nao mafala,mpaka wanashuka kwenye gari?
"
Si wangehamia siti ya nyuma halafu wakamaliza game huko??
"
Au ile ile siti ya mbele,woman on top ingewafaa kabisa tena bila shida . . . . . .Lol!

Hebu hapo ulipo fumba macho yako uvute picha ya mmama wa kibongo anayeitwa boss umuone jinsi alivoshiba afu uniambie kama kuna uwezekano wa kumtafunia kwenye seat yoyote, yeye mwenyewe tu anachukua siti na nusu kwa jinsi alivofungashia uani, NIDO kwa mbele huku inagusa kwenye dashboard! Impossible mazee, lazima ushushe mzigo. Ukitaka mambo ya kwenye siti ya gari uwe na kiportable, unakibinua utakavo humohumo sio hiyo mbaula hakiyanani!!
 
mie siku hizi hadi nayaogopa masemina na ma-training ya nje ya nyumbani.

Wake za watu wanabutuliwa hadi inashangaza, sijajua sababu.

Sababu ni utovu wa nidhamu ulikithiri. Ila siku zao zinahesabika. Wengine wandiriki hata kuvunja ndoa zao kwa upuuzi. Hivi huyu Mungu anaridhia wapumbavu kweli? Mungu wape macho ya rohoni.
 
Rapherl ...Bado sioni tatizo lipo wapi katika tendo hilo...!
 
Last edited by a moderator:
Mke na mme wa mtu! washenzi sana wa tabia! ningekuwa polisi wala sichukui hela ni moja kwa moja kituoni wakaelezee huo uchafu wao hadharani.
Caroline Danzi...

Siyo kila mwenye mke anaye mke na wala siyo kila mwenye mme anaye mme...! Mwenye masikio na asikie...!
 
Last edited by a moderator:
una tabia za kupiga chabo au?
Nilikuwa Beach Mkuu na wao walikuja kama mimi ila kitendo hicho na Askari kufika ndo nikaenda karibu ila lisingetokea soo ningewaacha na starehe zao
 
Wale polisi ukizoeana nao wanapiga stori na kukutajia wahanga wote waliowahi kuwakamata ambao wana majina yumo Waziri Mmoja tena anewahusu wao mapolisi walimtoa (akiwa waziri wa Habari) wakamtoa laki3 pale pale!
Rafiki yangu mmoja Poti aliwahi kumkuta Boss wa ofisi moja hivi ndani ya Range Vogue na kabinti cha chuo IFM tena Gari imepaki mb
ele ya Gate la chuo 'Mwanachuo kainamia Konga',Bosi ikamtoka 350000.
 
Rapherl ...Bado sioni tatizo lipo wapi katika tendo hilo...!

Mkuu yule mama ni mke wa mtu alafu isitoshe anatembea na Dereva wake ambae inawezekana mme wake anamfahamu,au kwanini wasingetafuta hata kagesti tu mpaka imekuja kuwatoka laki mbili na zaidi huko
 
Last edited by a moderator:
Wangesubiria hadi kufika hotelini BOSS angehairisha kamchezo ndio maana wakahamua kumaliza hapo hapo tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…