GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,851
- 109,552
Tanga akagombee labda kilindi na mkinga huku kote majimbo ni ya mawaziriHuna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )
Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa Nidhamu na siyo kwa Kuuana kwa kutupiana Majini na zile Ajali zetu wa Ajabu Ajabu zilizoondoka na Rafiki yangu Marehemu Salim na Jirani yangu Kawe Marehemu Idi Mambo ambaye Baba yake Mzazi alikuwa Dereva wa CDF Mstaafu Jenerali Robert Mboma.
Kila la Kheri Tido Dustan Mhando, Kapumzike sasa na Asante kwa Utumishi wako wa Kutukuka wa Miaka 10 hapo Azam Media Company ukiwa kama CEO Wao.
Kuanzia Kesho Waganga wa maeneo mbalimbali watapata Ugeni mwingi wa Watu wanaokimezea na waliokuwa Wakikimezea Mate hicho Cheo cha Mwamba na Fundi Tido Dustan Mhando.
GENTAMYCINE namalizia kwa Ujumbe wangu kwa Waziri wa sasa wa Habari nchini na kwa Wabunge wote wa Majimbo ya Mkoani Tanga ( hasa atokalo Tido Dustan Mhando ) kuwa mkiona anayepasha Nje ya Uwanja ni Golikipa jueni kuwa anayetoka siyo Beki au Kiungo au Fowadi sawa?
Nimemaliza.
Sio mbaya wacha atundike dalunga maana katumikia kwa kiasi kikubwa.Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau )
Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa Nidhamu na siyo kwa Kuuana kwa kutupiana Majini na zile Ajali zetu wa Ajabu Ajabu zilizoondoka na Rafiki yangu Marehemu Salim na Jirani yangu Kawe Marehemu Idi Mambo ambaye Baba yake Mzazi alikuwa Dereva wa CDF Mstaafu Jenerali Robert Mboma.
Kila la Kheri Tido Dustan Mhando, Kapumzike sasa na Asante kwa Utumishi wako wa Kutukuka wa Miaka 10 hapo Azam Media Company ukiwa kama CEO Wao.
Kuanzia Kesho Waganga wa maeneo mbalimbali watapata Ugeni mwingi wa Watu wanaokimezea na waliokuwa Wakikimezea Mate hicho Cheo cha Mwamba na Fundi Tido Dustan Mhando.
GENTAMYCINE namalizia kwa Ujumbe wangu kwa Waziri wa sasa wa Habari nchini na kwa Wabunge wote wa Majimbo ya Mkoani Tanga ( hasa atokalo Tido Dustan Mhando ) kuwa mkiona anayepasha Nje ya Uwanja ni Golikipa jueni kuwa anayetoka siyo Beki au Kiungo au Fowadi sawa?
Nimemaliza.
SahihiSio mbaya wacha atundike dalunga maana katumikia kwa kiasi kikubwa.
Tatizo la vijana wa sasa wavivu kuchota na kuiga maarifa.
Tido ni hazina kubwa katika tasnia ya habari.
Muda umefika naona leo alikuwa anashindwa hadi kusoma taarifa yake.Sahihi
Achana na milengo ya kidini.I think so...
Maana Muslims wametawala industry karibia yote ya media & entertainment Bongo. Cheki mifano hapa chini:
- Salama Jabir
- Dullah Planet
- Samatta
- Twaha Kiduku
- Platnumz
- Raymond Shaaban