Bora nikate tamaa ili niwe salama

Bora nikate tamaa ili niwe salama

Sawa huyu mkuu nimemuelewa kidogo hapo to lower my expectations japo sijajua yupo upande wangu kuwa nikate tamaa niachane na missions ninazozifukuzia au nisikate tamaa niendelee kupambana kuforce kingi ingawa mambo ninayokabiliana nayo yananizidi uwezo
Mbona alichokisema mkuu kipo wazi kabisa, weka plan zako na fanya mambo yako bila pressure ya kuangalia wengine wanafanya nini au wanaishi vipi, simply hizo show off za watu zisikuondolee focus katika unachokifanya, weka imani katika kila unachokifanya huku ukiaminj siku moja mambo yatakuwa unavyotaka, don't loose hope mkuu.
 
Sijui kwa nini sipendi kusikia mwanaume akilia lia kuhusu maisha?. Muda mwingine nakaa kimya kwamba labda nisije nikamkufuru MUNGU,labda wengine katuongezea kitu. Lakini inanilazimu kusema ksbb hii hali inazidi miongoni mwetu. Na wanaume wengi walalamikaji wa maisha kutaka kujikatisha ni wale wasomi. SABABU KUBWA NI ILE ILE HAWATAKI KUKUBALI KUANZIA CHINI. KUNA VIJIWE (IN SEARCH SIO KIJIWE NI OFISI). Kuna
1. Nenda iringa,njombe,mafinga,makambako n.k sehemu zote za iringa,huko wenyeji hawana shida. Utaanza na kuotesha miche ya miti pain. Hii unaiotesha chini mtoni sehemu yoyote ambayo itakuwa rahisi wewe kuimwagilia na kuipalilia kwenye vitalu. Mbegu unaipata kwenye pain zilizokomaa mashambani. HII HAIHITAJI MTAJI.
2. Kuosha magari,kuna vijiwe vingi kama mbeya,iringa,morogoro,arusha,na mikoa mikoa mingine,mingine,vijiwe vingi sio vya binafsi ni vya jamii,yoyote mwenye kupenda anajiunga nao muda wowote. Hivyo vijiwe wengi hawajui pale ni sawa na machimbo. Ukizoeleka (haichukui zaidi ya mwezi kuzoeleka) kila siku unaondoka na Tsh. 15,000 mpaka 20,000. Ni akili yako tu,hiyo hela kuitunza ili uje ufungue biashara ya ndoto yako. Ni akili yako tu kukwepa makundi ya bangi hapo,ksbb hulazimishwi,na si wote waliopo ktk hivyo vijiwe wanavuta bangi. Hivyo vijiwe vina mambo mengi mazuri ya kuingiza hela nzuri ukipata mtaji sasa. Siwezi kusema yote hapa,ila hivyo vijiwe usishangae ktk hicho kijiwe mtu anakushushia bonge la njenge.
=Nimeamua kuanika tu hapa ili wapo watakaojifunza. Swali ni je nyie wasomi mnakubali kuanzia huku?. Ipo siku nitaleta maisha yangu yote hapa watu wajifunze.
Sawa mkuu shusha tu madini watu wajifunze, nipe plan na mimi mgonjwa/mlemavu wa kukaa ndani kama itakuwa valid nijiongeze
 
Labda sikuelewa mahala? Umesema ni mgonjwa ksbb ya hiyo hali yako ya strees za maisha kwamba hayasomi mpaka sasa? Au wewe ni mgonjwa mlemavu (yaani mgonjwa wa viungo?). Kama ni mgonjwa mlemavu wa viungo,NISAMEHE,sikukumaanisha wewe kwenye hiyo post yangu hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesoma comments zote vema? Au unaanza kumlaumu mwanzisha mada tu? Based on your very comment ni kama umetupa mashambulizi na mwanzisha mada akiangukia kwenye kundi hilo.

Mwanzisha mada ana maradhi ambayo ndiyo kikwazo kwake kupambania ndoto zake.
Ndio maana nimemuonba radhi kwa hiyo post yangu. Nilijua anamaanisha ni mgonjwa ksbb ya hiyo hali ya stress? Kumbe ni mlemavu?. Hata wewe pia na yoyote anisamehe. Nilijua ni mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlipokuwa mdogo (before 20yrs) ilikuwa kila nikitaka kitu nikapima na kuamini naweza kuwa ama kupata basi ilikuwa ni lazima nifanikishe ningeacha vyote nifocus na hicho tu mpaka ieleweke. Sasa nimekuwa mkubwa bado ni mtu wa strong desires yaani nikitaka nimetaka akili yangu itaumia kutafuta namna ya kufanikisha ninachotaka kwa nguvu zote lakini mambo yamekuwa magumu mno hayaji kirahisi na si tu kirahisi bali hata kwa nguvu zote ninazoapply ambazo nilipima nikaona inawezekana lakini mambo hayawezekani.

Maisha yangu ni kama yamesimama, mateso yanaongezeka , changamoto hazivumiliki (ugonjwa/ulemavu) nimeshindwa kufanikisha nilivyofikiri itawezekana lakini nashindwa kupotezea na kumuachia Mungu. Msemo wa Mungu hachelewi wala hawahi haufanyi kazi kwangu, siwezi kabisa vumilia zaidi kuendelea na maisha ya hivi lakini nifanye nini sielewi, nikweli ninayoyataka yapo nje ya uwezo wangu, mengine nje ya uwezo wa binadamu lakini napata machungu kuona kwanini isiwe yaani milango yote imefungwa sasa nitokee wapi, halafu kwanini iwe mimi tu?

Agrrrh... Nahisi kuchanganyikiwa! hii strong desire ya kuwa mtu fln kuishi katika level fln licha ya hali yangu sasa inanitesa vilivyo. Nikikaa kutwa nzima kichwa kinawaka moto nifanya nini na kila ninachoamini nikijaribu sifanikiwi, sitakiwi kuwa hapa nilipo, sitakiwi kuishi hivi, Huu ni mtihani mzito sana kwangu. Nawaza pengine uzito hasa unakuja kutokana na aina ya mtu niliye. Bora ningekuwa mtu nisiyeamini katika mafanikio, kama ningekuwa mtu wa kukubali kushindwa walahi nisingeteseka hivi pengine ningekuwa cool nimemwachia Mungu lakini kiukweli nimeshindwa kukata tamaa.

Nimejaribu kujiwekea miiko kwamba No social networks hasa hasa FB, whatsap groups labda zinaniongezea anxiety kwasababu kule wengi ninaowahamu naona ni kama wote wameridhika wanafurahia maisha yao. Nikiwaza hivi kweli namimi niridhike na hali hii BIG NO! Nikasema wacha niachane na mambo ya Inspirations, Motivations huko IG nikiingia watu wanafanya big moves, hata wauza sura wanaoshine kwa kufake life still wanaEnjoy life, wakina Ontario kila siku kutusema tunaosindikiza maisha, Quote yake moja anasema "Maisha hayajawahi kuwa selective, hayajui kama baba yako ni maskini au wewe ni kilema, kipofu, yatima. Maisha ni kama mvua ikinyeesha haiangalii kama kuna mtu kaanika mpunga, kuna mtu anajenga nyumba, kuna mtu anaanika nguo, haiangalii chochote same as life.

Ni jukumu lako kuwa na mwamvuli " Basi nikiona hivyo moyo unauma sana naona bora nihamie kwenye kushabikia udaku na story za kina Mondi kusogeza siku lakini nazo zinachosha big times. Sina rafiki, sina mpenzi wala sidhani kama nataka kuwa nao kwasasa maana hata marafiki niliokuwa nao hatumatch tena kama zamani na urafiki umefifia. Sifurahii kabisa kuishi hivi, bila kuwa ninavyotaka seriously sijioni kuumaliza mwaka 2020.

Nimekosa alternative ya vipi nibadili attitude niliyonayo, niiambie nini nafsi yangu ili iridhike akili yangu itulie just to be calm and patient nisisumbuke tena kujiwazia chochote. Kama kuhold endurance nimehold sana nimefika mwisho kabisa sasa nahisi hata naweza kujifanyia kitu kibaya. Two times this year nilichukua hatua kadhaa toward self suicide lakini nikaghairi na kuishia kutokwa na machozi, nilimfikiria mtu mmoja anayenipenda sana lakini hana namna ya kuweza kunisaidia. Nahisi nguvu kubwa inanivuta kwenye self suicide kwakuwa seriously sioni care wala love kutoka kwa watu wanaopaswa kunicare na mimi ni mzigo wao.

Lakini siyo makosa yao pengine wanahisi I'm strong to handle the situation by myself. Should I tell them I need more love and care from them than this how they take me for granted now? Masculinity feelings stops me. Nahisi mwanaume sitakiwi kuomba mtu anipende wala siwezi kulazimisha mtu anijali. Is this right? How can I change this attitude. I feel worthless hilo halipingiki na tatizo langu hasa ni kutambua hilo. How can I fix this? Haya mawazo yasije kuniletea brain tumor ni bora nikubali kushindwa, nikate tamaa lakini nawezaje? Nitaweza kweli kujitenga na kila kitu, kila mtu? Si ndo mwisho wa siku nitajua mimi [emoji17].

Lakini nitaweza kweli kuassociate na society katika hali tofauti nikiwa mtu wa chini ninayehisi kupoteza thamani niliyokuwa nayo mwanzo ? Sipendi kuwa looser, well nimekuwa looser lakini sipendi kuonekana kama looser, sipendi kuwa worthless hivi. Dah, masikini mimi... Bora nikate tamaa!
#badmood #disabilityfeelings #poverty
Pole sana ndugu naelewa maumivu yako.

Mimi ni mtunzi mzuri sana wa nyimbo hasa za dini. Na ukisikiliza baadhi ya tungo zangu unaweza kutokwa machozi maana zinagusa kweli kweli. Kuna kipindi yalinifika magumu sana nikahisi kukata tamaa. Nikawa najiambia mwenyewe, kumbe ukimwimbia mtu asikate tamaa ndio anakuwa kwenye hali kamaa hii? Hakika nilikuwa kwenye wakati mgumu sana. Lakini Mungu ni mwaminifu, hutupitisha na kusahau tabu zote. Siku yako inakuja, stay strong.
 
Labda sikuelewa mahala? Umesema ni mgonjwa ksbb ya hiyo hali yako ya strees za maisha kwamba hayasomi mpaka sasa? Au wewe ni mgonjwa mlemavu (yaani mgonjwa wa viungo?). Kama ni mgonjwa mlemavu wa viungo,NISAMEHE,sikukumaanisha wewe kwenye hiyo post yangu hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgonjwa wa viungo. Usijali
 
Pole sana ndugu naelewa maumivu yako.

Mimi ni mtunzi mzuri sana wa nyimbo hasa za dini. Na ukisikiliza baadhi ya tungo zangu unaweza kutokwa machozi maana zinagusa kweli kweli. Kuna kipindi yalinifika magumu sana nikahisi kukata tamaa. Nikawa najiambia mwenyewe, kumbe ukimwimbia mtu asikate tamaa ndio anakuwa kwenye hali kamaa hii? Hakika nilikuwa kwenye wakati mgumu sana. Lakini Mungu ni mwaminifu, hutupitisha na kusahau tabu zote. Siku yako inakuja, stay strong.
Amen!
 
sawa nakubaliana na unachosema ila iko hivi, nilipofikisha miaka 20 nikapooza miguu mwaka 2014 mpk leo nipo ndani mlemavu haitoshi nikaanza kupata changamoto zingine za kiafya. Nimeishi siku zote nikivumilia matumaini yangu nitapona na dalili zilikuwepo lakini haijawa hivyo, nje na kesi ya ulemavu nikajaribu kuendesha biashara na mambo mengine mengi madogo madogo kwa kutumia watu wengine, almost kila kitu kinafeli thus why nikaona labda nisifanye tena chochote, nisiwe na malengo yoyote wala matumaini yoyote nibaki tu kujiuguza kwasababu ninapojipa matumaini na hakuna kinachofanikiwa siponi na mambo yote ni kama hayaendi sasa hii kitu inaumiza zaidi
Kuna time katika maisha utatamani ungeumbwa perfect na kuinjoi maisha kama wengine.. inaeleweka na ni kawaida kwa binadamu.. you are not exceptional, IT'S NORMAL

Wafupi wanatamani kuwa warefu,

wanaoitwa wabaya wanaomba siku moja waamke na sura za kuvutia

Wenye vibamia na mabwawa nao wanatamani siku waamke wakiwa na viungo ambavyo havidhihakiwi

Walio walemavu wanatamani siku moja waamke wakiwa na uwezo wa kuona, kusikia, kutembea na kutumia mikono yao perfectly...

walio failure katika maisha kama elimu na kipato nao wanaomba siku moja wawe na mafanikio ili waheshimike

Ninachomaanisha ni kuwa "UNACHOKIONA KWA NJE SI KILA MARA KINA UHALISIA WA 100%, WATU WENGI WANA VITA ZA NDANI KWA NDANI AMBAZO WEWE HUWEZI KUZIFAHAMU ILA ZIPO..

KINACHOTAKIWA NI MABADILIKO, kama hali yako inaweza kubadilika just ifanyie kazi, kama viungo vilivyobakia vinaweza kukufanya uwe useful na kuishi , work on that... Nothing less Nothing more brother"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hamna swala,huo ni ushirikina Wa felek au uganga ambao haukubaliki na dini ya kiislamu,ukiona MTU kama huyu akili yako ifahamu uislamu hauhusiki na uchafu Wa aina hiyo mkuu.
Shughuli za Shekhe yahya zilikua ni zipi mkuu?

Tulikua hatumuoni ITV ijumaa akisalisha waislam msikitini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlipokuwa mdogo (before 20yrs) ilikuwa kila nikitaka kitu nikapima na kuamini naweza kuwa ama kupata basi ilikuwa ni lazima nifanikishe ningeacha vyote nifocus na hicho tu mpaka ieleweke. Sasa nimekuwa mkubwa bado ni mtu wa strong desires yaani nikitaka nimetaka akili yangu itaumia kutafuta namna ya kufanikisha ninachotaka kwa nguvu zote lakini mambo yamekuwa magumu mno hayaji kirahisi na si tu kirahisi bali hata kwa nguvu zote ninazoapply ambazo nilipima nikaona inawezekana lakini mambo hayawezekani.

Maisha yangu ni kama yamesimama, mateso yanaongezeka , changamoto hazivumiliki (ugonjwa/ulemavu) nimeshindwa kufanikisha nilivyofikiri itawezekana lakini nashindwa kupotezea na kumuachia Mungu. Msemo wa Mungu hachelewi wala hawahi haufanyi kazi kwangu, siwezi kabisa vumilia zaidi kuendelea na maisha ya hivi lakini nifanye nini sielewi, nikweli ninayoyataka yapo nje ya uwezo wangu, mengine nje ya uwezo wa binadamu lakini napata machungu kuona kwanini isiwe yaani milango yote imefungwa sasa nitokee wapi, halafu kwanini iwe mimi tu?

Agrrrh... Nahisi kuchanganyikiwa! hii strong desire ya kuwa mtu fln kuishi katika level fln licha ya hali yangu sasa inanitesa vilivyo. Nikikaa kutwa nzima kichwa kinawaka moto nifanya nini na kila ninachoamini nikijaribu sifanikiwi, sitakiwi kuwa hapa nilipo, sitakiwi kuishi hivi, Huu ni mtihani mzito sana kwangu. Nawaza pengine uzito hasa unakuja kutokana na aina ya mtu niliye. Bora ningekuwa mtu nisiyeamini katika mafanikio, kama ningekuwa mtu wa kukubali kushindwa walahi nisingeteseka hivi pengine ningekuwa cool nimemwachia Mungu lakini kiukweli nimeshindwa kukata tamaa.

Nimejaribu kujiwekea miiko kwamba No social networks hasa hasa FB, whatsap groups labda zinaniongezea anxiety kwasababu kule wengi ninaowahamu naona ni kama wote wameridhika wanafurahia maisha yao. Nikiwaza hivi kweli namimi niridhike na hali hii BIG NO! Nikasema wacha niachane na mambo ya Inspirations, Motivations huko IG nikiingia watu wanafanya big moves, hata wauza sura wanaoshine kwa kufake life still wanaEnjoy life, wakina Ontario kila siku kutusema tunaosindikiza maisha, Quote yake moja anasema "Maisha hayajawahi kuwa selective, hayajui kama baba yako ni maskini au wewe ni kilema, kipofu, yatima. Maisha ni kama mvua ikinyeesha haiangalii kama kuna mtu kaanika mpunga, kuna mtu anajenga nyumba, kuna mtu anaanika nguo, haiangalii chochote same as life.

Ni jukumu lako kuwa na mwamvuli " Basi nikiona hivyo moyo unauma sana naona bora nihamie kwenye kushabikia udaku na story za kina Mondi kusogeza siku lakini nazo zinachosha big times. Sina rafiki, sina mpenzi wala sidhani kama nataka kuwa nao kwasasa maana hata marafiki niliokuwa nao hatumatch tena kama zamani na urafiki umefifia. Sifurahii kabisa kuishi hivi, bila kuwa ninavyotaka seriously sijioni kuumaliza mwaka 2020.

Nimekosa alternative ya vipi nibadili attitude niliyonayo, niiambie nini nafsi yangu ili iridhike akili yangu itulie just to be calm and patient nisisumbuke tena kujiwazia chochote. Kama kuhold endurance nimehold sana nimefika mwisho kabisa sasa nahisi hata naweza kujifanyia kitu kibaya. Two times this year nilichukua hatua kadhaa toward self suicide lakini nikaghairi na kuishia kutokwa na machozi, nilimfikiria mtu mmoja anayenipenda sana lakini hana namna ya kuweza kunisaidia. Nahisi nguvu kubwa inanivuta kwenye self suicide kwakuwa seriously sioni care wala love kutoka kwa watu wanaopaswa kunicare na mimi ni mzigo wao.

Lakini siyo makosa yao pengine wanahisi I'm strong to handle the situation by myself. Should I tell them I need more love and care from them than this how they take me for granted now? Masculinity feelings stops me. Nahisi mwanaume sitakiwi kuomba mtu anipende wala siwezi kulazimisha mtu anijali. Is this right? How can I change this attitude. I feel worthless hilo halipingiki na tatizo langu hasa ni kutambua hilo. How can I fix this? Haya mawazo yasije kuniletea brain tumor ni bora nikubali kushindwa, nikate tamaa lakini nawezaje? Nitaweza kweli kujitenga na kila kitu, kila mtu? Si ndo mwisho wa siku nitajua mimi [emoji17].

Lakini nitaweza kweli kuassociate na society katika hali tofauti nikiwa mtu wa chini ninayehisi kupoteza thamani niliyokuwa nayo mwanzo ? Sipendi kuwa looser, well nimekuwa looser lakini sipendi kuonekana kama looser, sipendi kuwa worthless hivi. Dah, masikini mimi... Bora nikate tamaa!
#badmood #disabilityfeelings #poverty
Kwanza kabisa wewe sio looser,wewe ni mtu wa thamani kubwa,na uliyoyaandika haya yanasadifu

Japo Mimi sio mlemavu,lakini nishawahi kufikia hatua kama yako,ndio...hatua ya kutohitaji mtu yeyote,yaani Giza likiingia ukafumba macho...unatamani kusikuche...nguvu ya kusali inakufa...inafikia hatua hata ukijikwaa...unalaumu jiwe...

Lakini nikiwa nimemaliza nguvu zangu kabisa...nililia...nkasema Mungu nisaidie ...Sina na wala sijui hata maneno mazuri ya kuleta shida yangu kwako...lakini najua upo na unajua mateso yangu...nkawaza...hata Kama ningekukashifu haraka ungenirudi...sikusali sala niliofundishwa na mtu...nilisali maneno yangu na Mungu...baada ya hapo nilifunga bila wala kusali maneno mengi,zaidi ni kutafuta uwepo wake,katika muda na watu ambao see kudhania ,Alinijibu ..Sasa nimekosa shukrani Tena...Mara nyingi naangukia upotofu...namwomba Anipe nguvu/neema ya kuishi maisha ya utakatifu Kama shukrani

Usikate tamaa Kaka...unapoishia ,ndipo Mungu anaanzia...muombe patience...ntakukumbuka pia katika sala yangu...mateso/maumivu hutukomaza kiimani

Mungu na Akakuinue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeandika kwa uchungu sana . kama nakuona masikini . pole sana . unawakilisha wengi wanaofikiria kukata tamaa au waliojikatia tamaa tayari. but take this from me , never give up . pambana mpaka mwisho na mungu yupo usichoke as long as una pumzi bado pambana mkuu. binadamu tumeumbiwa yote hayo unayopitia . dont feel you are worthless, u are a winner just never give up. angalia wapi pakurekebisha songa mbele usiangalie watu watakuchukuliaje hapo ndo utafeli .
Asante kwa ujumbe mzuri ...Mungu Akubariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom