Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,276
- 2,470
Hope is a very dangerous thing
Naomba msianzishe mijadala ya dini please!Nauza ustaadhi akisalisha muumini wake hapo.View attachment 1288400
Samahani sana mkuu.Naomba msianzishe mijadala ya dini please!
Sawa labda nitapata lakini nimejeruhiwa sana kuamini mtu mwingine tufanye biashara mtaji wenyewe napata kwa taaaabu halafu mtu anakuja kukuzika tu kirahisi aisee watu wabaya sana sikuiziUsikate tamaa,kuna anko wangu mmoja alikuwa mlemavu Wa miguu kama wewe alizaliwa mzima baadae akapooza,alikuwa anafanya biashara zake kwa kuagiza watu na mambo yake yalikuwa yanaenda vizuri jaribu kutafuta watu sahihi wakukusaidia shughuli zako.
Pole sana mkuu kama wapitia changamoto inayofanana na yangu atleast unaelewa kumbe kukata tamaa wakati mwingine ni njia sahihi ingawa wengi hawajanielewaPamoja kaka hatuna tofauti sana me na wewe... Am still fucked up najifunza kupunguza mambo kichwani.....
unakua na plans nyingi na hakuna unachotimiza......
One step at a time.... Kuna muda unaloose motivation kabisa ya kufanya chochote bkoz huoni mwanga huko mbele.... Tuwe na amani tu ya moyo either we nake it or not
Nakuelewa mkuu na wala sishindani na yeyote ila tu changamoto zangu ambazo nazo naona zinanizidi uwezoPole saana mkuu, ila ni bora kushindana na wewe mwenyewe kuliko kushindana na mtu mwingine,
Namaanisha jaribu kupambana kuvuka mafanikio yako ya jana bila kuangalia jirani kafanikiwa vipi.
Watu wananjia zao ambazo huzijui so ukijaribu kuwaiga utaishia kuumia kila siku
Umewahi kuongea na Dr. Othman privately? Dr. Othman wa Moiuti wa mgongo ulisinyaa (spinal stenosis), zikaja complications nyingine kibao viungo vikaanza kufeli. Labda nipate pesa nyingi sana nearly 50M ili nikajaribu kutibiwa nje ya nchi, uhakika wa kupona ni 50/50
Huyo wala hajaanzisha mjadala wa dini ni mtu ambae hajui kitu na hajua kuwa hajui yaani kwa tafseer sahihi ni mpumbavu na sio mjinga. Ustaadhi sijui anahusikaje na kuswalisha mfano ustaadi wa biology tusemeNaomba msianzishe mijadala ya dini please!
Samahani nimerudi tena mwanzoni nilikushauri kukutana na Dr. Othman. Nimefanya hivyo kwasababu niliwahi kukutana na changamoto inayofanana na hiyo. Mke wangu alipatwa na tatizo kama hilo na alikuwa wakubebwa tu kwenda popote mwishowe daktari mmoja alikuja hospitali moja mitaa ya upanga akitokea APPOLLO na alitushauri kwenda India hta hivyo kuna mtu alituelekeza kwa huyu Dr. nimayemsema nikazungumza naye na yakafanyika mambo makubwa sana kwa gharama kidogo sasa hivi mke wangu yuko bomba kuliko hata zamaniuti wa mgongo ulisinyaa (spinal stenosis), zikaja complications nyingine kibao viungo vikaanza kufeli. Labda nipate pesa nyingi sana nearly 50M ili nikajaribu kutibiwa nje ya nchi, uhakika wa kupona ni 50/50
Sure.Huyo wala hajaanzisha mjadala wa dini ni mtu ambae hajui kitu na hajua kuwa hajui yaani kwa tafseer sahihi ni mpumbavu na sio mjinga. Ustaadhi sijui anahusikaje na kuswalisha mfano ustaadi wa biology tuseme
Ooh wapi sasa anapatikana huyo Dr. Othman?Samahani nimerudi tena mwanzoni nilikushauri kukutana na Dr. Othman. Nimefanya hivyo kwasababu niliwahi kukutana na changamoto inayofanana na hiyo. Mke wangu alipatwa na tatizo kama hilo na alikuwa wakubebwa tu kwenda popote mwishowe daktari mmoja alikuja hospitali moja mitaa ya upanga akitokea APPOLLO na alitushauri kwenda India hta hivyo kuna mtu alituelekeza kwa huyu Dr. nimayemsema nikazungumza naye na yakafanyika mambo makubwa sana kwa gharama kidogo sasa hivi mke wangu yuko bomba kuliko hata zamani
Habari ipi mkuu?Achana na hii habari please!
Unaonekana uko vizuri sana kwenye kukariri. Jitahidi kwa elimu yetu ilivyo unaweza kupata hata PhD. Ngoja nijadiliane na huyu jamaa tunaweza kufanya kitu tukaokoa maisha ya mtu
Hii inahusiana vipi na statement niliyoiandika hpo juu?Nauza ustaadhi akisalisha muumini wake hapo.View attachment 1288400
hili andikolna maana gan mkuu?Mhubiri 9:11