Bora nikate tamaa ili niwe salama

Bora nikate tamaa ili niwe salama

Unaonekana uko vizuri sana kwenye kukariri. Jitahidi kwa elimu yetu ilivyo unaweza kupata hata PhD. Ngoja nijadiliane na huyu jamaa tunaweza kufanya kitu tukaokoa maisha ya mtu
Ulipona bawasiri mzee wa PHD?
 
Anhaa kumbe Moi, sijawahi kukutana naye labda nianze kumtafuta
Siku ya Jumapili huwa ni nzuri zaidi utapata wasaa wa kuongea nae kwa vizuri. Jumapili huwa anapatikana hospitali moja ya wahindi nadhani ule mtaa unaitwa swahili.Ukitokea Muhimbili unaenda moja kwa moja hadi kwenye taa za barabarani huku fire brigade ukiiacha kushoto, ukishavuka tu zile taa baada ya filling au pump station iliyopo kushoto kwako mbele kidogo tu kuna hosipitali siikumbuki jina
 
Ulipona bawasiri mzee wa PHD?
Basi mzee nilishakuelewa yaishe nimeshajua ni mtu wa aina gani na umenisaidia kujua akili yako pia ulipoandika PHD wakati mie hata sikuandika hivyo. Samahani inaonekana tu wau wa dunia tofauti kabisa
 
Basi mzee nilishakuelewa yaishe nimeshajua ni mtu wa aina gani na umenisaidia kujua akili yako pia ulipoandika PHD wakati mie hata sikuandika hivyo. Samahani inaonekana tu wau wa dunia tofauti kabisa
Ulipona Bawasiri?
 
Iman ni kitu kikubwa saaana !! nimeona umeweka neno wallah weewe ni muislam???kuna jama alikua kiwete,kipofu,,ila alipewa moyo wa kushrkur Mungu ali ish kwa raha saana had wale waliyo wazima wanamshanga kaka maisha ya dunia ni mitihan mitupu na usishtushwi na appearance za watu Mungu anakupa mtihan autakawo hapangiwi so jithd umshkur Mungu kwa hali yoyote ile na uwe n Imani kwamba anaweza kila kitu!!
 
uwezo wa ubongo unaojivunia nao umeishia hapo
Bawasiri.
2116417_image_jpeg9f360c5ab7736510df54c882e9dbf188.jpeg
 
Mzeebaba itakuwa hujanielewa tu, yaani natamani sana kupambana lakini kuna ugonjwa umeniweka ndani aisee daaah yaani nikiwaona wanaopambana huko nje nahisi kupasuka maana namimi ningekuwa mmoja wao na hakika ningetoboa lakini ugonjwa umenipiga kabali ndomaana hata nataka nikate tamaa nisifocus tena yanayoendelea huko nje just niwe kama sipo vile nikubali tu kuwa siwezi kuwa kama nyinyi wazima
Pole sana brother, naamini utatecover na kuendelea kupigana. Kikubwa usije kukubali kukata tamaa!
 
Kitu kimoja muhimu sana maishani ni kuwa na moyo wa shukurani. Bible inasema shukuruni kwa kila jambo. Ni muhimu sana. Anza kwa kuhesabu baraka zako. Mungu amekupa uhai bure, una akili timamu, you have a roof over your head, unaweza kumeza chakula bila mpira. Umezungukwa na watu wanaokujali na kukupa support. Yaani ukihesabu baraka zako utagundua tayari umependelewa. Utapata positive energy ya kupambana kupata utakacho.

Kumbuka giza linapozidi kunakaribia kukucha
 
Mkuu kwa upande wangu Hope is not Dangerous thing, kwa upande wangu

Where there is Hope there is Life,

hata Mkuu davile pamoja na yote anayopitia lakini still he has hopes

Hopes is far away from Expectations
Kama nataka kuelewa zaidi hii. Hapa nilipo niwe na matumaini yapi maana mwanzo niliamini hata kama siwezi kutembea maisha yatakuwa tu sawa lakini naona mambo hayaendi sawa hata kidogo. Tumaini linafifia sijui nijichochee vipi kupata new hope maana nikama nijidanganye kujifanya sioni yanayotokea yaani basi tu kuna vitu siwezi kusema
 
Kukata tamaa ni dhambi kubwa (laana) jiepushe nayo kwa sababu ina tabia mbaya ya kurisisha kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Pambana mpaka pumzi ya mwisho chief, hujui ni lini na ni wapi mlango wako wa kutokea ulipo.

Hata kama utaondoka hapa duniani bila kuupata mlango wa kutokea basi roho ya upambanaji utawaachia wanaobakia (kizazi chako) - huenda wao wakauona na wakatoka - maana maisha ni giza nene na wote tunapapasa tupate pa kutokea kila mmoja kwa mbinu na bidii yake mwenyewe.

keep it up - pambana cheif hadi pumzi ya mwisho.
 
Dah umeongea kitu kikubwa sana mkuu
 
Maisha hayatakaa yatosheleze. Hivyo ni budi na kushukuru kwa ulichonacho. Those who are the happiest never did have everything, but they are thankful for everything they do have.

When you learn to appreciate the little you have, then the big things are soon to happen. Please learn to be grateful.

Anza kwa kushukuru na kufurahia pumzi uliyonayo, shukuru kwa amani, shukuru kwa kila kitu huku ukijilinganisha na wasio nacho kabisa na utapata amani ya moyo sana.

Then, lower or have less expectations from someone and you will never be disappointed. If you love someone, then don't expect to be loved back. If you give, don't expect the return. If you help, don't expect a thankful hand. On whatever you do to others, have no expectations. You will have peace within you.

Pole sana Da Vinci, Mondray. Paprika angekuwepo bila shaka ungekuwa na amani.

Mleta uzi ebu soma hii comment ya huyu mkuu, urudie tena na tena ,ukiweza isave mahali uifanye kama sala uisome kabla ya kulala na ukishaamka asubuhi, alichoandika huyu mkuu ndio solution ya matatizo yako.
 
Kitu kimoja muhimu sana maishani ni kuwa na moyo wa shukurani. Bible inasema shukuruni kwa kila jambo. Ni muhimu sana. Anza kwa kuhesabu baraka zako. Mungu amekupa uhai bure, una akili timamu, you have a roof over your head, unaweza kumeza chakula bila mpira. Umezungukwa na watu wanaokujali na kukupa support. Yaani ukihesabu baraka zako utagundua tayari umependelewa. Utapata positive energy ya kupambana kupata utakacho.

Kumbuka giza linapozidi kunakaribia kukucha
Dah lakini siku nikipona nadhani nitamshukuru na kumtukuza Mungu kwa namna nisiyoweza kueleza ila hivi sasa namshukuru tu kwa uhai japo wa mateso kiasi ambacho wakati mwingine natamani kuachia ngazi
 
Mleta uzi ebu soma hii comment ya huyu mkuu, urudie tena na tena ,ukiweza isave mahali uifanye kama sala uisome kabla ya kulala na ukishaamka asubuhi, alichoandika huyu mkuu ndio solution ya matatizo yako.
Sawa huyu mkuu nimemuelewa kidogo hapo to lower my expectations japo sijajua yupo upande wangu kuwa nikate tamaa niachane na missions ninazozifukuzia au nisikate tamaa niendelee kupambana kuforce kingi ingawa mambo ninayokabiliana nayo yananizidi uwezo
 
Sijui kwa nini sipendi kusikia mwanaume akilia lia kuhusu maisha?. Muda mwingine nakaa kimya kwamba labda nisije nikamkufuru MUNGU,labda wengine katuongezea kitu. Lakini inanilazimu kusema ksbb hii hali inazidi miongoni mwetu. Na wanaume wengi walalamikaji wa maisha kutaka kujikatisha ni wale wasomi. SABABU KUBWA NI ILE ILE HAWATAKI KUKUBALI KUANZIA CHINI. KUNA VIJIWE (IN SEARCH SIO KIJIWE NI OFISI). Kuna
1. Nenda iringa,njombe,mafinga,makambako n.k sehemu zote za iringa,huko wenyeji hawana shida. Utaanza na kuotesha miche ya miti pain. Hii unaiotesha chini mtoni sehemu yoyote ambayo itakuwa rahisi wewe kuimwagilia na kuipalilia kwenye vitalu. Mbegu unaipata kwenye pain zilizokomaa mashambani. HII HAIHITAJI MTAJI.
2. Kuosha magari,kuna vijiwe vingi kama mbeya,iringa,morogoro,arusha,na mikoa mikoa mingine,mingine,vijiwe vingi sio vya binafsi ni vya jamii,yoyote mwenye kupenda anajiunga nao muda wowote. Hivyo vijiwe wengi hawajui pale ni sawa na machimbo. Ukizoeleka (haichukui zaidi ya mwezi kuzoeleka) kila siku unaondoka na Tsh. 15,000 mpaka 20,000. Ni akili yako tu,hiyo hela kuitunza ili uje ufungue biashara ya ndoto yako. Ni akili yako tu kukwepa makundi ya bangi hapo,ksbb hulazimishwi,na si wote waliopo ktk hivyo vijiwe wanavuta bangi. Hivyo vijiwe vina mambo mengi mazuri ya kuingiza hela nzuri ukipata mtaji sasa. Siwezi kusema yote hapa,ila hivyo vijiwe usishangae ktk hicho kijiwe mtu anakushushia bonge la njenge.
=Nimeamua kuanika tu hapa ili wapo watakaojifunza. Swali ni je nyie wasomi mnakubali kuanzia huku?. Ipo siku nitaleta maisha yangu yote hapa watu wajifunze.
 
Umesoma comments zote vema? Au unaanza kumlaumu mwanzisha mada tu? Based on your very comment ni kama umetupa mashambulizi na mwanzisha mada akiangukia kwenye kundi hilo.

Mwanzisha mada ana maradhi ambayo ndiyo kikwazo kwake kupambania ndoto zake.
 
Back
Top Bottom