Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,167
Una ugonjwa gani?Mzeebaba itakuwa hujanielewa tu, yaani natamani sana kupambana lakini kuna ugonjwa umeniweka ndani aisee daaah yaani nikiwaona wanaopambana huko nje nahisi kupasuka maana namimi ningekuwa mmoja wao na hakika ningetoboa lakini ugonjwa umenipiga kabali ndomaana hata nataka nikate tamaa nisifocus tena yanayoendelea huko nje just niwe kama sipo vile nikubali tu kuwa siwezi kuwa kama nyinyi wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
