Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Mume kamfumania mkewe club akila bata na Ex wake ambae amerudi kutoka majuu. Mke alienda kula bata na Ex wake club huku nyumbani kaacha kichanga cha miezi nane. Mume akatonywa kuhusu mtoko, akamfata mke club na kapiga kiasi hiki mpaka mdada haeleweki sura.
Sawa mdada alikosea, lakini kwanini asingemwacha tu badala ya kumuumiza hivi? And what if angemtanguliza mbele za haki, kuwa na murder case na mtoto kukosa wazazi wote wawili?
Bora kumwacha mtu kuliko kumuumiza.
