Sikumtambua vizuri ni nani ila alitoa post kwamba kuliko kukimbiza mwenge ni bora kumkimbiza rais kila kijiji ili aone hali mbaya raia wake waliyonayo kiuchumi na kijamii,aone umaskini uliokithiri,vifo vya akina mama na watoto,usafiri ulvyo tabu,madawa hakuna,shule hazina vifaa etc etc,pengine ufisadi unaweza kupungua ili fedha iende kuhudumia wananchi...big up sana mkuu
Kumkimbiza? ikiwa mtatumia modaliti ya mbio za mwenge je huyo rais mtambeba kwenye machela au kwenye kiti kama magavana wa kikoloni?
ahsante kijana kwa pongezi zako.
ni mimi ndiye niliyetoa ujumbe huo!
nimeamini,
"kufikiri kisiri-siri ni sawa na safari ya mbwa"
Mura wakyagara wakinyora, ifi fitu fyote urifyo fisungumsa ni mutu mumoja tu katika injii hii ariwesa kufifanya kwasababu ariwabenda sana batu bake naye ni Tata Nyerere wa Mwitongo,Butiama. Nyerere arikuwa anawesa kutembea kwa muguu kutoka Butiama hadi Majita ndiyo maana nao mwenge uriwesa kusungushwa bira taabu yoyote aripokuwepo! Fiongosi wa sasa bametokana na utandawasi mura! Hawawesi kusunguka fijijini na ndiyo maana mwenge nao unasungushwa kiutandawasi mura!
mura wakyagara wakinyora, ifi fitu fyote urifyo fisungumsa ni mutu mumoja tu katika injii hii ariwesa kufifanya kwasababu ariwabenda sana batu bake naye ni tata nyerere wa mwitongo,butiama. Nyerere arikuwa anawesa kutembea kwa muguu kutoka butiama hadi majita ndiyo maana nao mwenge uriwesa kusungushwa bira taabu yoyote aripokuwepo! Fiongosi wa sasa bametokana na utandawasi mura! Hawawesi kusunguka fijijini na ndiyo maana mwenge nao unasungushwa kiutandawasi mura!
ahsante kijana kwa pongezi zako.
Ni mimi ndiye niliyetoa ujumbe huo!
Nimeamini,
"kufikiri kisiri-siri ni sawa na safari ya mbwa"
Teh tehe tehee!Rais huyooooo rais mbiombioo rais tunamkimbiza mbiombioo x2 itakua safi hiyoo
Sikumtambua vizuri ni nani ila alitoa post kwamba kuliko kukimbiza mwenge ni bora kumkimbiza rais kila kijiji ili aone hali mbaya raia wake waliyonayo kiuchumi na kijamii,aone umaskini uliokithiri,vifo vya akina mama na watoto,usafiri ulvyo tabu,madawa hakuna,shule hazina vifaa etc etc,pengine ufisadi unaweza kupungua ili fedha iende kuhudumia wananchi...big up sana mkuu

Mbona hii Hospitali ipo katika moja ya Wilaya za mkoa anaoishi, lakini hakuna kitu na analijua hili kuwa kuna Hospitali kati kati ya Jiji la DSM yenye hali mbovu.
View attachment 109973
View attachment 109974
Umetisha Mkuu! Hongera Kwa Ubunifu!
nimepost jana mkuu ni mjadala ambao sisi wa kazi wa kigoma hapa kijiwe cha CDM maarufu urusi karibu na kahawa tuliujadili sana nikaona tuujadiliane humu, kama ujuavyo kigoma kidogo sasa hivi, wanatutembelea viongozi, tofauti na zamani. watu wa kigoma wana hoja nyingi ambazo zikifanyiwa kazi zina tija , mfano kijana wetu zitto ndiye aliyekuwa kijana mdogo kulichachafya bunge na hatimaye nchi ikatambua kumbe vijana wanaweza , kuna wazee wana hekima huku mfano mzee kasisiko ni nguli wa CDM kwa mkoa huu wa kigoma na ndiyo mkoa wa kwanza kuukataa ukiritimba wa CCM hasa pale walipo mmwagia mkapa mchanga katika harakati za kuwania uraisi maeneo ya urusi, naweza sema kigoma ndiyo chachu ya mageuzi kitaifa . leo hii eneo la urusi kuna bango kubwa kero zote za mkoa na madudu yote ya unyanyasaji zinaandikwa hapo kama ilivyo hapa JF. this is kigoma ya waliogoma ukiritimba wa CCMSikumtambua vizuri ni nani ila alitoa post kwamba kuliko kukimbiza mwenge ni bora kumkimbiza rais kila kijiji ili aone hali mbaya raia wake waliyonayo kiuchumi na kijamii,aone umaskini uliokithiri,vifo vya akina mama na watoto,usafiri ulvyo tabu,madawa hakuna,shule hazina vifaa etc etc,pengine ufisadi unaweza kupungua ili fedha iende kuhudumia wananchi...big up sana mkuu
nimepost jana mkuu ni mjadala ambao sisi wa kazi wa kigoma hapa kijiwe cha CDM maarufu urusi karibu na kahawa tuliujadili sana nikaona tuujadiliane humu, kama ujuavyo kigoma kidogo sasa hivi, wanatutembelea viongozi, tofauti na zamani. watu wa kigoma wana hoja nyingi ambazo zikifanyiwa kazi zina tija , mfano kijana wetu zitto ndiye aliyekuwa kijana mdogo kulichachafya bunge na hatimaye nchi ikatambua kumbe vijana wanaweza , kuna wazee wana hekima huku mfano mzee kasisiko ni nguli wa CDM kwa mkoa huu wa kigoma na ndiyo mkoa wa kwanza kuukataa ukiritimba wa CCM hasa pale walipo mmwagia mkapa mchanga katika harakati za kuwania uraisi maeneo ya urusi, naweza sema kigoma ndiyo chachu ya mageuzi kitaifa . leo hii eneo la urusi kuna bango kubwa kero zote za mkoa na madudu yote ya unyanyasaji zinaandikwa hapo kama ilivyo hapa JF. this is kigoma ya waliogoma ukiritimba wa CCM