ngumukumeza
Senior Member
- Aug 7, 2013
- 113
- 20
mh rais wa tanzania anajua anachokifanya, ana wawakilishi kina kona ya nchi hii. mwenge ni alama ya taifa una umuhimu wake kwa taifa.
Shikamoo mwigulu
mh rais wa tanzania anajua anachokifanya, ana wawakilishi kina kona ya nchi hii. mwenge ni alama ya taifa una umuhimu wake kwa taifa.
Ukisema rais unanichanganya mana mi namjua kwa jina la FASTJET ndo huyu unamwongelea? kama ndiye 100%
mwenge ni kitu kingine na rais ni kitu kingine, so kaa kimya
Samahani Wakuu,
Mimi napendekeza kuwa ni bora kumtembeza Rais wetu kila kijiji ajionee mwenyewe hali ya wananchi wake kuliko kuukimbiza Mwenge ambao hauna macho wala mdomo.
Rais anaweza kupata wala fursa ya kujibu maswali ya wananchi kwa kukumbushwa ahadi alizotoa wakati wa kampeni
Vile vile atapata fursa ya kukiaminisha chama chake kikongwe kwa wenye akili kongwe.
Shauri yake, ndo ajue urais siyo kubembea tu. Mbona nyinyi mnaishi, yeye kuja siku moja tu atashindwa.ni rais lakini sio JK,huku kwetu Tyeme,iramba hakuna mabembea na mafarasi
nakubaliana nawe ila hadi amalize vijiji vyote atakuwa kazi zingine hafanyi.
Kweli,mambo mengine kama safari Za ulaya amwachie makamu wake mpaka atalapo kamilisha hizo mbio Za raisi
anazungumzia rais wa kanisa yaani padre muasi na mvunja ndoa za watu
anazungumzia rais wa kanisa yaani padre muasi na mvunja ndoa za watu
Unatakiwa urejeshwe Mirembe hospitalini.