Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

Kumkimbiza? ikiwa mtatumia modaliti ya mbio za mwenge je huyo rais mtambeba kwenye machela au kwenye kiti kama magavana wa kikoloni?

hahaaaa nafikiri kumkimbiza means yeye atakuwa akikimbia mbele wengine nyuma wakimkimbiza

Rais huyooooo rais mbiombioo rais tunamkimbiza mbiombioo x2 itakua safi hiyoo

Mwenge oh Mwenge mbio mbio mwenge tunaukimbiza mbio" kikwete oh kikwete mbio mbio kikwete tunamkimbiza mbio mbio"
Nimechekaje! aisee ukiwa na JF huhitaji kulipia comedy.
 
Wazee wa buku saba bado sijaona comment zao.... labda bado qanafikiri labda hawajaiona....
 
DHAIFU ni DHAIFU tu hata tumkimbize nchi nzima aone hali ya kutisha katika kila kona ya nchi yetu bado ataendelea na UDHAIFU wake huku Watanzania walio wengi wakiishi katika umaskini uliokithiri pamoja na nchi kuwa na utajiri mkubwa sana. Wao wenyewe wanakuwa mabilionea kila kukicha huku wakiendelea kuangalia pembeni kuhusu hali ya maisha ya kutisha kwa Watanzania walio wengi.

Sikumtambua vizuri ni nani ila alitoa post kwamba kuliko kukimbiza mwenge ni bora kumkimbiza rais kila kijiji ili aone hali mbaya raia wake waliyonayo kiuchumi na kijamii,aone umaskini uliokithiri,vifo vya akina mama na watoto,usafiri ulvyo tabu,madawa hakuna,shule hazina vifaa etc etc,pengine ufisadi unaweza kupungua ili fedha iende kuhudumia wananchi...big up sana mkuu
 
huko Mpanda kuna shule ina wanafunzi 246, wanashare darasa moja na choo kimoja, darasa la kwanza mpaka la saba
 
Kama Rais mwenyewe ni huyu Dr Kikwete aliyeanguka mara nane wakati wa kampeni zake kurudi Ikulu, basi tukae mkao wa msiba baada ya ''mbio za rais''
Hahaaaaa haaaaa mkuu ndiyo maana inahitajika raisi mkakamavu kama MBOWE , zitto na wengineo wakakamavu. ila raisi anayetembea na dawa mfukoni kama EL ,sijui kama tutafika
 
DHAIFU ni DHAIFU tu hata tumkimbize nchi nzima aone hali ya kutisha katika kila kona ya nchi yetu bado ataendelea na UDHAIFU wake huku Watanzania walio wengi wakiishi katika umaskini uliokithiri pamoja na nchi kuwa na utajiri mkubwa sana. Wao wenyewe wanakuwa mabilionea kila kukicha huku wakiendelea kuangalia pembeni kuhusu hali ya maisha ya kutisha kwa Watanzania walio wengi.


kweli mkuu,ndo anaweza kusema amechoka kwa kuangalia vijiji akaamua kwenda mapumziko uingereza miezi sita
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mumkimbize mpaka mumfikishe na huku MAKETE jamani, mwambieni Tuntemeke anawadai barabara!!
 
Tatizo mawazo mazuri ya utaalamu kama hayo hutupwa na hawa wakoloni weusi
 
Mura wakyagara wakinyora, ifi fitu fyote urifyo fisungumsa ni mutu mumoja tu katika injii hii ariwesa kufifanya kwasababu ariwabenda sana batu bake naye ni Tata Nyerere wa Mwitongo,Butiama. Nyerere arikuwa anawesa kutembea kwa muguu kutoka Butiama hadi Majita ndiyo maana nao mwenge uriwesa kusungushwa bira taabu yoyote aripokuwepo! Fiongosi wa sasa bametokana na utandawasi mura! Hawawesi kusunguka fijijini na ndiyo maana mwenge nao unasungushwa kiutandawasi mura!

umetisha chukua LIKE
 
Nchini humu tukiondoa ushirikina tuu!! tutapona onve and for all....! Kesho atakuja mwengine lakini Ushirikina ukibaki basi hakuna tija. Tutabadilisha joho lakini imamu ni yuleyule.....tutokomeze ushirikina kwanza.
 
[h=5]BORA KUMKIMBIZA RAIS KILA KIJIJI ATAZAME UMASKINI WETU LABDA ATAJIFUNZA KITU KIPYA KULIKO KUKIMBIZA HII KITU

[/h]

 
Uv magamba mpooooo????? Buku 7 lumumba mpoooo??????
 
kila mtu akizungumza lugha yake jf patatosha kweli?

Sasa weewee hiso rugha sako ndiyo sitafanya JF pasitose mura! Mimi naongea kiswahiri wewe unareta fita fya maneno maneno wakati huwesi kuchesa ritungu!Bhira kufuta bhange na kunywa ghongo na kura nyama ya mbusi na kususiya na kichuri huwesi kabhisa kuchesa ritungu mura! Urisiya kwa wakyagara wakinyora na Allen Mwita.
 
Back
Top Bottom