Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

kwani wewe ndie Kongosho , unakurupuka kujibu swali ambalo hujaulizwa!!
 
Last edited by a moderator:
NAUNGA MKONO HOJA 100% .Maana madhumuni ya mbio za mwenge wa wakati huo na sasa ni tofauti kabisa.
Ilikuwa ni kuondoa dhuluma pale penye dhuluma,kuondoa maovu pale penye uovu,kuleta upendo pale penye chuki,kuleta matumaini pale tulipokata tamaa,kuwamlika maadhui wa ndani na nje ya nchi yetu n.k.

Leo hii mbio za mwenge zimekosa sifa za kuleta matumaini pale pasipo na matumaini,kuleta mwanga pale palipo na giza.

Sasa wanini zaidi ya kuongeaza gharama tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na kufungua miradi iliyojengwa chini ya kiwango?

Idumu siasa ya ujama na kujitegemeaaaa......idumuuuuuuu
Zidumu milele fikra sahihi za mwenyekiti wa ccm....zidumuuuuu
 
kweli mkuu mwenge hauna maana yoyote kwasasa zaidi ya kuwapa vitambi makada wa CCM
 
Back
Top Bottom