100% correct.Samahani Wakuu,
Mimi napendekeza kuwa ni bora kumtembeza Rais wetu kila kijiji ajionee mwenyewe hali ya wananchi wake kuliko kuukimbiza Mwenge ambao hauna macho wala mdomo.
Rais anaweza kupata walau fursa ya kujibu maswali ya wananchi kwa kukumbushwa ahadi alizotoa wakati wa kampeni
Vile vile atapata fursa ya kukiaminisha chama chake kikongwe kwa wenye akili kongwe.
mh rais wa tanzania anajua anachokifanya, ana wawakilishi kina kona ya nchi hii. mwenge ni alama ya taifa una umuhimu wake kwa taifa.
Pinda atawatisha watoto wa watu huko, akitua tu uwanja wa ndege atarudishwa.Aende PINDA
wanasema miluzi mingi inampoteza mbwa lakini mimi nasema inamfanya mbwa kuwa makini na kukaa kwa tahadhari zaidi . swala la mwenge watu walilisema lakini serikali ikaziba masikio kisa tunamuenzi baba wa taifa ,mtikila alishapinga sana hili , wasomi makini walishapinga sana hili wamebaki wale wanopenda rangi badala ya maudhui ya rangi (wafurukutwa wa ccm)Umuhimu gani? Hivi unajua uchungu wa kulipa kodi kweli au na wewe ni wale ambao mnaishi kwa "tax exemptions / relief" as "wafanyakazi wa serikali".
Huu mwenge ni ongezeko la:
1. Gharama ZISIZO ZA MSINGI za serikali na kwa wananchi walipa kodi
2. Uchafuzi wa jamii kwa matendo yasiyofaa ambayo wananchi mbalimbali wamekuwa wakilalamikia
3. Kuwavuruga tu wanafunzi kwa kuwa bize na maandalizi ya mwenge na kuwajengea imani za ajabu ajabu
4. Muonekano wa watanzania kushindwa kufikiria. Unatumia billions kwenda kuzindua miradi mnayoiita ya billions. I expected kutumia maelfu, laki kadhaa kuzindua miradi ya bllions; au millions kuzindua trillions. Hii ni wastage ya resources isiyokuwa na tija...
ccm mnapenda mwenge ili unapokesha mpate kufanya ngono,kuna kipindi ulikesha uwanja wa jamhuri moro asubuhi ziliokotwa kondom ndoo mbili!
mh rais wa tanzania anajua anachokifanya, ana wawakilishi kina kona ya nchi hii. mwenge ni alama ya taifa una umuhimu wake kwa taifa.