Uchaguzi 2020 Bora CHADEMA mngesitisha uzinduzi wa kampeni kufuatilia hujuma za wagombea wenu kuenguliwa

Naunga mkono hoja inadi viongozi wa Chadema ikiwezekana wakae na baadhi ya vyama vingine vyaupinzani wakae waje na plan B kama nikukinukisha kinuke mapema tusipoteze muda hapa sioni kama kuna uchaguzi ni uzushi mtupu
 
Mimi najua mheshimiwa Lissu atatoa tamko kesho kwenye mkutano na huo ndio utakuwa mwelekeo wa uchaguzi wa mwaka huu. Stay tuned!!
 
Walio fanya umesha Pata habar zao huwez kuwaangalia Mara mbil
Kwa akili yako unadhani ndo mmemaliza hasira za wananchi juu ya CCM??? Bado sana!!! Kuna wengine maelfu wako tayari kufanya zaidi ya waliofanya hao na a day by day wanazidi kuongezeka kutokana na udhalimu wenu wa wazi nyie CCM
 
LusindoLu
Hakuna haja ya uchaguzi. They (CHADEMA na ACT) should organize a revolution. Now is the time. Kuna vuguvugu katika akili za watu. Magufuli is a devil. He hates democracy. Hakuna haja ya uchaguzi kabisa.
Lusiindo ombehi
 
Hahahah

Nimeanza kuhisi kuwa mikutano yao ya kampeni ndo wataitumia kujibu pingamizi zote walizowekewa
 
Team hiyo itafanya nini kuunda tume mpya ?!
Sijawahi kusikua steam inatengua matokeo ya tume.

Mara zote nimesikia maamuzi ya tume ni final na asiyekubali anashauriwa kwenda mahakamani.

Walipaswa wawe waliusha rekebisha matatizo yote kabla ya matokeo, badala ya kuunda team baada ya matokeo.
Amini nakuambia. Hawa jamaa ni full maigizo
 
Mkuu better waendelee na kampeni huko ndiko kila kitu kitatokea, imagine watu wanaambiwa zaid ya wagombea 100 wamekatwa. Lazima kutakuwa na spirit fulani, lkn huwez sitisha kampeni halafu utegemee watu watafanya rallies toka nyumbani, only kwa ajili ya kupinga au kuishikiza tume kurudisha wagombea. Unahitajika umati kama wa tunduma ule kuhamasiha rallies, mfano kama itaanzia Dar es salaam,basi leo mbagara, kesho kawe then segerea with consecutively row inawezekana kufanyika jambo ,halafu kikinukishwa bara zaidi ya mikoa 10 na zenji hata hao police wakuzuia hamna, sasa ili itokee lzm kampeni zianze immediately.
 
Ushauru wangu ni bora kupambana kwanza juu ya hili kabla hamjaendelea na huo uzinduzi kwani hai-make sense kufanya uzinduzi huku wagombea ubunge zaidi ya 50(kwa maelezo ya Kigaila) kwa tiketi ya CHADEMA wakiwa katika hatihati ya kukosa nafasi ya kuwa wagombea huku idadi ya wagombea udiwani nchi nzima ikiwa ni kubwa zaidi.
Kweli mkuu uzinduzi wa kampeni uahirishwe. Waweke sawa kwanza kwenye hizi njama za kitoto.
 
Mbowe ndio basi kabisa. Yaani ameridhika na kanafasi kake ka kiongozi wa upinzani.
Chadema hasa viongozi wake wakuu ukimtoa Lisu, wamelala usingizi mzito. Mbowe ndio hata sijui yupo wapi na anafanya nn? Sijui anachukuliaje haya yanayotokea. Inaonekana ni kama amemsusia Lisu kila kitu. Mwenyekiti anazingua kweli
 
Wananch au chadema mana katika watu walio fanya vurugu wote wamesha kamatwa bado wawili tu
So magenge yenu yanasakwa
Kwa iyo unafikiri wananchi wanapenda udhalimu wenu wa kuwakmata wagombea kipindi cha uchaguzi na kuwabambikia makesi???? We jamaa ni mpuuzi uliyetukuka kwa kweli????

Endelea kujiaminisha ujinga ila mwaka huu hauishi salamu mtazipata vizuri sana kama mlivyoanza kuzipata
 
Back
Top Bottom