henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,117
Halafu tukishawekewa vikwazo nyinyi ufipa wote mtahamia Amsterdam au ili muepuke maisha magumu
Ufipa mnachekesha kweli
Ufipa mnachekesha kweli
Tukirudi katika neutral point, hata wapumbavu wa CCM wanaweza kuona 'hujuma' inayoendelea.Kwa kifupi tu, vikwazo vitaihusu government, safari hii kichomi ni kikali sana.
Tundu Lissu kaamua pia kufata gari, polisi wanaruka ruka tu, yote haya yanakuwa profiled na kutumwa hukoo kwa "wasaidizi wa kupatikana kwa haki". Tayari ripoti ya vifo imeshakwenda huko death toll inasoma 3.