Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Wakuu habari za mwaka mpya ?

Kuna kitabu natafuta sidhani kama nitapatia jina kinaitwa "THE CORE GENIUS".

Sijui kakiandika nani naomba kwa mwenye soft copy atutafutie.
 
wengine sasa :

1. kwanza shule kayumba , ukiona lugha ya malkia kuna "has been , were , should , would . unaona kama hukumu ya jehanam.

2. ukisema uandike havisomeki vizuri, R na L zinagongana juu ya kichwa hujui uweke ipi uache ipi , HU na U unaona zina sound sawa.

3. Tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunashindana na wazazi wetu kuangalia movie za JUMA KHANI (mabanda ya mapicha)

4. Nimepita hapa nimetamani sana kuwa kama nyie ndugu zangu , ila nipo na mpango wa kufanya kama wewe ulivyokuwa mdogo " kusoma vitabu na kusummarize , naona kabisa nita improve "

 
Kusoma vitabu ni kitu ambacho mtoto anatakiwa afundishwe tangu mdogo na inatakiwa iwe in a way ambayo anaenjoy.
Watoto wanajifunza zaidi kwa vitendo kuliko maneno. Mzazi ukiwa na tabia ya kusoma vitabu na kuweka japo library ndogo/bookshelf ndani watoto watajifunza kupenda vitabu.
Personally sikuwahi kupenda kusoma vitabu mpka nlipofika form 1.
Form 1 nlipata manzi mtoto wa mashavuni wale wa "kingledha" kingiii.
Yule dada alikua anasoma sana novels. Katika harakati za kumnyatia ikabd tu na mimi niwe mdau ili tuwe karibu.
Hapo ndo nkaanza kupenda kusoma vitabu hasahasa novels. Nlipenda tangu hapo mpaka leo na sijawahi kujuta.
Yeye alikua anapenda zile fiction za ajabu kama ma vampires na werewolves, but mimi nkatokea kupenda fiction ambazo ziko realistic na unaweza kucompare na life ya kawaida. Nlivobobea nkapenda zile vitabu mtunzi anaandika in a way unatakiwa usome between the lines uelewe.
My all time favorite novels
1. Hundred years of solitude
2. Love in the time of cholera
3. The american marriage
4. The cooked seed
5. Blaze
 

So be it. So be it.
 
Naomba pdf ya small business bible
 
Hii ni list yangu 2022
1. The Holy Quran: Text, Translation amd Commentary -Abdullah Yusuf Ali
2. Principles - Roy Diallo
3. Judge’ List - John Grisham
4. the Prince - Nicollo Machiavelli
5. 5 Love Languages - Gary Chapman
6. Think Like an Entrepreneur , Act Like A CEO - Beverly Jones
7. Why Men Die First , How to Lengthen Lifespan - Marianne Legallo
8. Atomic Habits - James Clear
9. Think Again - Adam Grant
10. The Psychology of Money - Morgan Howal
11. 12 Rules for Life - Jordan Peterson
12. THe Colder War, How the Energy Trade Slipped from America’s Grasp - Marin Katusa
13. The Almanack of Naval Ravikant, A Guide to Wealth and Happiness - Eric Jorgensen
14. Maqasid al Shariah, the Philosophy of Islamic Law - Jasser Anda
15. The End of Power from Boardrooms to Battlefield and Churches to States - Moses Naim
16. Al Qisas Anbiyaa (Stories of the Prophets from Adam A.S to Jesus A.S to Muhammad SAW) - Al Rabghuzi
17. Becoming Steve Jobs - Brent Schedler and Rick Telzeh
18. Gravel Heart - Abdulrazak Gurnah
19. Dottie - “”
20. Afterlives - “”
21. Paradise - “”
22. By the Sea - “”
23. Memory of Departure - “”
24. The Sheikh CEO - Dr Yasser Jarvar
25. For God, Country and Coca Cola : the Definitive History of the Coca Cola Company - Mark Pendergest
26. Ali, A Life - Jonathan Eig
27. Leaders Eat Last - Simon Sinek
28. Why Has Nobody told Me This Before ? - Dr Julie Smith
29. Ikigai: the Japanese History to a long and happy life - Hector Garcia and Frances Miralles
30. Why we Sleep: Unlocking the Power
Of Sleep and Dreams - Mathew Walker

2023:
John Grisham - Boys from Biloxi
Prince Harry - Spare
 
Paula umekionaje hicho Bury my heart at wounded knee?
 
Tutasubiri. Ila tu nikuambie hutajuta, na nikutahadharishe kuwa kinaweza kukuliza.
 
Wakuu natafuta hivi vitabu mwenye softcopy anisaidie
 

Attachments

  • images.jpeg
    9.3 KB · Views: 44
  • download.jpeg
    5.5 KB · Views: 52
Paula umekionaje hicho Bury my heart at wounded knee?
What a heartbreaking read.
Okay, It is the most eye-opening non fiction book I have read. It taught me a lot about the “civilised” Western world tunayoiona leo.

So it's about what the European immigrants did to Native Americans. It was terrible how Native Americans have historically been treated. How the Native American population treated was very painful to read.

They were killed when they didn't comply na vile US walitaka.
They (the US) took away their land. You see, they robbed them of almost all their land and broke literally every single treaty they made with the indigenous people.
Native Americans weren't considered human na hadi sasa they keep getting ignored.

Thank you, Lycaon Pictus.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…