Boniface Jacob: Serikali inacheza mchezo wa Kimafia, kesi ya akina Mdee ilipangwa kusikilizwa bila CHADEMA. Hawakujua sisi Wahuni pia!

Chadema na nyinyi Ni wahuni tu mnawatumiaje watoto wa watu miaka yote hyo kuitukana ccm leo mnakuja kuwafukuza Kama mbwa hpn haikubalili wao kinamdee waendelee kuwepo bungeni kwa garama za chadema kuwa tumia vibaya katk siasa zao Leo hi wanaonekana Kama nyanya mbichi hpn haikubalili hata kidogo

Mdee kanyaga twende
 
Mimi nazani CHADEMA wasicheke na nyani Kwenye shamba la mahindi watavuna mabua. Wanapaswa kuwashitaki hao akina dada kwa kesi ya kufoji

..John Mrema, msemaji wa Chadema, amedai wameiomba Tume ya Uchaguzi nakala ya fomu za uteuzi za Halima, ili waweze kumtambua aliyegushi, lakini Tume haijawapa ushirikiano.
 
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu
Ulitakaje?
 
Maamuzi ya chama yanatakiwa yaheshimiwe.
1. Wasiingie bungeni mpaka kesi yao washinde.
2. CDM hawataruhusiwa kupeleka wengine bungeni hadi hukumu itolewe.

Tulia, acha kudhalilisha taaluma.

Au hauna watoto watakaokuja kuso maamuzi yako wakuone ndezi?

Think twice
Who cares in this country!!
 
Chadema yenyewe haiko serous!!
Kiongozi wao kutwa Ikulu kujipendekeza harakati zote za katiba zikaishia on twiiitaaa

Bora Chadem ife tu viongozi hawako serous kwa kweli twende na ACT na Umoja party.
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Mfano mwingine rahisi kwa wengi. Lengai Ole Sabaya wakati amehukumiwa kwenda gerezani miaka 30, alikata rufaa mahakama kuu. Wakati rufaa yake inasikilizwa aliendelea kutumikia adhabu yake gerezani, hadi kesi ilivyoamuliwa vinginevyo. Kwanini COVID-19 ni wabunge hadi leo? UHUNI.
"Wakati rufaa inasikilizwa aliendelea kutumikia adhabu yake gerezani, hadi kesi ilivyoamuliwa vinginevyo". "COVID-19" nao wamebakia kuwa wabunge hadi mahakama itamke vinginevyo. Simple logic uliyoisema wewe mwenyewe..
 
Chadema na nyinyi Ni wahuni tu mnawatumiaje watoto wa watu miaka yote hyo kuitukana ccm leo mnakuja kuwafukuza Kama mbwa hpn haikubalili wao kinamdee waendelee kuwepo bungeni kwa garama za chadema kuwa tumia vibaya katk siasa zao Leo hi wanaonekana Kama nyanya mbichi hpn haikubalili hata kidogo

Mdee kanyaga twende
Ulipata nafasi ya kusoma ulichoandika kabla hujakipost?
 
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19 walifukuzwa uanachama CHADEMA ila bado wakiendelee kuingia Bungeni.

Ameandika “Serikali inacheza Mchezo wa Kimafia sana. Tumetuma Mawakili Mahakama Kuu, pale Ofisini Kwa Msajili Wa Mahakama Wakakama Hakuna Kesi ya Kina Mdee. Mawakili wetu wakajifanya Wameondoka Kumbe wamejificha. Wamekuta Saa 8:00 Kesi ya kina Mdee Inasikilizwa Kwa Jaji Mgeta Kimya Kimya”

Katika tweet nyingine iliyofuata, akaandika “CHADEMA wala Mawakili wa CHADEMA hawajapewa Summons ya Mahakama Kuhusu Kesi ya Kina Mdee inayosemekena Kufunguliwa Siku Nne nyuma. Masijala ya Mahakama Wanasema hawaijui. Kumbe Walipanga isikikizwe Upande Mmoja Kimya Kimya,Mchana huu. Mungu Mkubwa Adv Malya ameingia ndani tayari“

Ameongeza “Wakili Peter Kibatala na Wakili John Malya tayari wapo ndani ya Chumba Cha Mahakama Mbele ya Jaji Mgeta 😂😂😂😂😂. Hawakujua sisi Wahuni pia Kuliko wao, Mahakama Kuu ilikuwa na Makachero wa Chama tangu Saa 1 Asubuhi. Mikakati ya Kusikilizwa Kesi Upande Moja bila CHADEMA imefeli“

View attachment 2226791
View attachment 2226796
View attachment 2226798
Nchi imeoza kabisa
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Mfano mwingine rahisi kwa wengi. Lengai Ole Sabaya wakati amehukumiwa kwenda gerezani miaka 30, alikata rufaa mahakama kuu. Wakati rufaa yake inasikilizwa aliendelea kutumikia adhabu yake gerezani, hadi kesi ilivyoamuliwa vinginevyo. Kwanini COVID-19 ni wabunge hadi leo? UHUNI.
- asichokijua huyo maranja kwenye sheria ya mwenendo wa jinai Kuna kitu kinaitwa Bail pending appeal japo ni impracticable.
 
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu
Kwa hiyo unataka 'anune' kama huyu UvCcm wakati wa kutweet?
Screenshot_20220407-095246.png
 
Juzi hapa niliomba kama utani wakina Mdee wafungue kesi kuna mwanajf mwenzangu alinicheka. Nadhani hakujua lengo langu nini. Kiukweli baada ya kesi ya uhanini ya Maganga, Hanspope, Kadego na wenzao niliyoifuatilia nikiwa mdogo na kujifunza vitu vingi nimekuja kujifunza vitu vingi zaidi wakati wa kesi ya ugaidi wa Mbowe. Na sasa nakwenda kujifunza vitu vingi kwenye hii kesi ya wakina Halima na wenzake. Yoyote yule aliyesababishwa wakina Halima wakaenda mahakamani namsifu sana na Mungu ampe maisha marefu.
 
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19 walifukuzwa uanachama CHADEMA ila bado wakiendelee kuingia Bungeni...
Ndio za mama hizo kumbe!
 
Back
Top Bottom