Boniface Jacob: Serikali inacheza mchezo wa Kimafia, kesi ya akina Mdee ilipangwa kusikilizwa bila CHADEMA. Hawakujua sisi Wahuni pia!

..John Mrema, msemaji wa Chadema, amedai wameiomba Tume ya Uchaguzi nakala ya fomu za uteuzi za Halima, ili waweze kumtambua aliyegushi, lakini Tume haijawapa ushirikiano.
Kwa amri ya mahakama ingewezekana haraka tu if the courts were genuine
 
Haya mambo Ni Mbowe kuyaripoti kwa Samia asikie atajibu Nini, then from there ataamua yeye na chama chake kama kuna haja tena ya kujihusisha na Samia

My take tulipofikoa kunanhaja ya kufuata njia zingine za kudai haki ambazo watazisikia.
 
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu
Stupid of you
 
Haya yote ni matokeo ya NCHI kuwekeza mapesa Mengi kwenye SIASA badala kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji!!!kama siasa ingekuwa na pesa kiduchu tu sarakasi za kijinga kama hizi zisingekuwepo!!!
Tunahitaji another wing of chama! Wingi hii imekwama.
 
Maamuzi ya chama yanatakiwa yaheshimiwe.
1. Wasiingie bungeni mpaka kesi yao washinde.
2. CDM hawataruhusiwa kupeleka wengine bungeni hadi hukumu itolewe.

Tulia, acha kudhalilisha taaluma.

Au hauna watoto watakaokuja kuso maamuzi yako wakuone ndezi?

Think twice
Kimekaa na sura ya kishetani
 
Hawa watu hakuna sababu ya kukutana nao ikulu, ni kudanganyana na kupotezeana muda tu, wanajua fika ndani ya nafsi zao hawako tayari kwa maridhiano.

Watu wapo katikati ya meza ya mazungumzo halafu bado wanaviziana mahakamani!! huu ni upuuzi wa kiwango cha juu sana, Chadema na Mbowe msiende ikulu.
Which way out then, Ni sauti gani Samia atazisikia maana hizi za maneno hazitasikika kamwe
 
Wabunge wa mchongo
Tatizo kubwa ni UCHAGUZI MKUU uliopita jinsi ulivyoendeshwa...hapa ili mambo yakae sawa ule uchaguzi urudiwe kitengo cha Wabunge nchi nzima then wapatikane wabunge halali,baada ya kumalizika spika na naibu wake wachaguliwe hapo ndipo tutakwenda sawa.
 
Exactly, hata kitendo cha Mbowe kwenda mwenyewe ikulu hakina afya yoyote kwa chama.
Mbowe ampigie simu amueleze kwa machunhu tukio Hilo, ataona response byake then from there a decide kuambatana na Samia au kuachana naye
 
TATIZO UBUNGE.ila mngeamua kuendelea na mambo mengine mngekuwa mmekomaa.
Kama serikali haitaki kuwafukuza waacheni
 
Hii ni Kesi nyingine itakayovutia umma mpana wa Tanzania



TOKA MAKTABA :

16 May 2022
Dodoma, Tanzania

Spika anadai kuwa anajiweka katikati mpaka haki ipatikane mahakamani.

Unajiuliza hawa wabunge 19 wanawakilisha chama gani bungeni?
 
Tatizo kubwa ni UCHAGUZI MKUU uliopita jinsi ulivyoendeshwa...hapa ili mambo yakae sawa ule uchaguzi urudiwe kitengo cha Wabunge nchi nzima then wapatikane wabunge halali,baada ya kumalizika spika na naibu wake wachaguliwe hapo ndipo tutakwenda sawa.
Hili linaweza kutekelezeka tu 2025..
Ndo sababu Katiba Mpya ni muhimu kwa sasa
 
hili bongenyanya sijui linaongeaga nini.chadema kwa wapuuzi hawa mlionao nyie mgombee ruzuku tu,
chama hiko kina watu hawako serious.
upumbavu mwingi sana kupoteza muda tu.
Hivi ile project yake ya kuuza mayai iliishia wapi?maana kuna kipindi mpaka likawa linawalaumu chadema wenzie kuwa wamesusa kuliungisha.halafu eti nalo ni lijumbe la kamati kuu ya chadema
 
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu

Akili huna
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom