Boniface Jacob: Serikali inacheza mchezo wa Kimafia, kesi ya akina Mdee ilipangwa kusikilizwa bila CHADEMA. Hawakujua sisi Wahuni pia!

Uchaguzi uliopita mmeshinda kwa Kishindo😁 Chadema na Wapinzani wengine awakujaza form vizuri
Mimi sina chama kwa bahati nzuri sana na maisha yangu sijawahi kupiga kura kwa sababu sijaamini mfumo wa upigaji kura naamini viongozi wanachaguliwa mezani. Ukisoma comments zangu zuri naunga mkono baya napinga haijalishi CCM au Chadema na comments zangu za leo na nyuma nasifia nikiona jambo zuri na nasema baya kwa maoni yangu sisemi niko sawa ila kwa maoni yangu. Katika hili sitaki kusema CCM nasema speaker wa bunge kachemka sana tu alikuwa na nafasi ya kuliweka bunge katika mstari kwa kufuata sheria sisemi amuonee mtu afuate sheria ili lirudishe heshima yake ila kaenda kulekule kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom