Boniface Jacob: Serikali inacheza mchezo wa Kimafia, kesi ya akina Mdee ilipangwa kusikilizwa bila CHADEMA. Hawakujua sisi Wahuni pia!

Halafu Sio kwamba Lazima Kesi ya kuomba injunction isikilizwe inter party Wakati mwingine inasikilizwa exparte Kama Iko under certificate of urgency then mnakuja kuwa summoned Kwa ajili ya inter party.
 
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19 walifukuzwa uanachama CHADEMA ila bado wakiendelee kuingia Bungeni...
Ipo hivi: Nchi yetu Katiba yake ni ya Serikali na Bunge la Vyama Vingi- Iwapo Kina Mdee watafutwa Ubunge maana ake Kimataifa Serikali inayoiongoza Tanzania Pamoja na Bunge Lake ni Batili.

Hivyo Uchaguzi Mkuu wa Kumchaguwa Rais na Wabunge wa Vyama vyote vyenye Usajiri Tanzania Unatakiwa ufanyike. Hili CCM awatolikubali kamwe hapa kinachotafutwa Serikali ifike 2025!!. Sisi yetu Macho lets add more Popcorns the Movie has begun
 
..John Mrema, msemaji wa Chadema, amedai wameiomba Tume ya Uchaguzi nakala ya fomu za uteuzi za Halima, ili waweze kumtambua aliyegushi, lakini Tume haijawapa ushirikiano.
Sasa ndio wamejipeleka mahakamani watu wataaibika huko ila tu shida moja mahakama zetu zenyewe za michongo tu hapo ndio shida lakini hakuna case mbaya kama ya kugushi.
 
Unajua kwa sasa viongozi wote karibia, wote! Wanafikiri pesa za nchi hii ni mali binafsi ya rais!

Hivyo kuwalipa covid 19 pesa kiharamu namna hiyo hawaoni kuwa ni jinai!
Garama ya kurudia Uchaguzi na matokeo yake CCM inaona bora iwalipe na kuwatetea Covid 19
 
Ipo hivi: Nchi yetu Katiba yake ni ya Serikali na Bunge la Vyama Vingi- Iwapo Kina Mdee watafutwa Ubunge maana ake Kimataifa Serikali inayoiongoza Tanzania Pamoja na Bunge Lake ni Batili . Hivyo Uchaguzi Mkuu wa Kumchaguwa Rais na Wabunge wa Vyama vyote vyenye Usajiri Tanzania Unatakiwa ufanyike. Hili CCM awatolikubali kamwe hapa kinachotafutwa Serikali ifike 2025!!. Sisi yetu Macho lets add more Popcorns the Movie has begun
Hapana sio kweli hili sio mara ya kwanza kutokea imewahi kutokea wabunge wa CUF walifukuzwa chama wakaondolea wakateuliwa wengine sidhani ni jambo wanalo ogopa CCM maana kama ni sheria wanaweza kubadilisha tu wako wengi hapa kuna zaidi ya hilo, waliwatumia na sasa wanataka kuwalinda ila option ya mwisho kusingizia mahakama. Lakini kawaida walitakiwa watoke Mahakama iamue kama wakishinda basi watalipwa stahiki zao wakishindwa basi mchakato mwingine wa kujaza nafasi.
 
Well said....
 
Wakati Wabunge Wa CUF wanatolewa Bungeni.Wabunge wengine wa Vyama vya Upinzani Walikuwepo so Sheria aikuvunjwa. Kumbuka kuwa kwa sasa Upinzani Bungeni ni hao Covid 19. Wakiondoka hao ,Bunge la TZ ni batili
 
Maadui wa Chadema wapo Kamati kuu ya Chadema
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu
 
Wakati Wabunge Wa CUF wanatolewa Bungeni.Wabunge wengine wa Vyama vya Upinzani Walikuwepo so Sheria aikuvunjwa. Kumbuka kuwa kwa sasa Upinzani Bungeni ni hao Covid 19. Wakiondoka hao ,Bunge la TZ ni batili
Na ndo maana wanalindwa kwa nguvu zote....
Mihimili yote iko tayari kuvunja katiba, Sheria na kanuni zoote ilimradi hao Covid-19 wanabaki bungeni....🤔🤔
 
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu
Ulitaka ajambe?.Huyo katoa taarifa yeye binafsi kama mwanachama nasio taarifa rasmi ya chama.na huo ukurasa alioutumia ni ukurasa wake binafsi ana uhuru nao kuandika taarifa kwa namna anayoiona inafaa kuhabarisha wengine.
 
Ameandika “Serikali inacheza Mchezo wa Kimafia sana. Tumetuma Mawakili Mahakama Kuu, pale Ofisini Kwa Msajili Wa Mahakama Wakakama Hakuna Kesi ya Kina Mdee. Mawakili wetu wakajifanya Wameondoka Kumbe wamejificha. Wamekuta Saa 8:00 Kesi ya kina Mdee Inasikilizwa Kwa Jaji Mgeta Kimya Kimya”
🤣🤣🤣🤣Yaani ccm jamani kha!! Kudhalilika kote huku wanataka nini
 
covid 19 ni NDAGU ya kuchukua mamlioni ya Euros za european union kusaidia bunge na demokrasia maana inahitajika idadi fulani ya wapinzani bungeni ila kuna watu waliiba kura kupitiliza 2020 so mzee mdee na mabinti zake wanatumika kudanganyia kwamba kuna demokrasia nchini tanganyika
 
Sasa anaandika alaf anacheka , tatizo la hiki chama linaanzia hapa , unarelease information sensitive kama hii alaf kimzaha tena without any vivid evidence.... Wenzao CCM wapo serious Kias cha kutoana roho , nyie kucheka Cheka tuu
lia basi wewe
 
Wakati Wabunge Wa CUF wanatolewa Bungeni.Wabunge wengine wa Vyama vya Upinzani Walikuwepo so Sheria aikuvunjwa. Kumbuka kuwa kwa sasa Upinzani Bungeni ni hao Covid 19. Wakiondoka hao ,Bunge la TZ ni batili
Kwa hiyo CCM au Chadema wakishinda 100% bunge batili uchaguzi unarudiwa? acha hizo
 
Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa malalamiko yake akidai Serikali inacheza mchezo wa Kimafia kuhusiana na kesi ya Rufaa ya Wabunge 19 walifukuzwa uanachama CHADEMA ila bado wakiendelee kuingia Bungeni...
Nimeamini MFUMO unaoendesha Serikali ni Ule Ule wa Awamu ya 5. LISU kamwe usirudi huku watakunanii, File halijafungwa.
 
Back
Top Bottom