Bongo star search 2015

Hahahaha team makelele oyeee. Daah basi watakuwa wamewafanyia jambo la maana sana kuwakabidhi kwa babu tale. Naamini tutaendelea kuwaona kwenye game
 
Daaah basi wamefanya kitu mbaya sn, that was grt project
Ndo nilivyosikia sikia hivyo. Wanadai washindi wengi after TPF hawafurukuti tena, so it's like hakuna mziki unaossuportiwa. Maana washindi hata hawaendelei na mambo ya mziki
 
Hahahaha team makelele oyeee. Daah basi watakuwa wamewafanyia jambo la maana sana kuwakabidhi kwa babu tale. Naamini tutaendelea kuwaona kwenye game

Maana haiwezekani wapatikane kwa gharamaaaa alafu vipaji vipotee tu hivi hivi, kwakweli kunakuwa hakuna maana tena.

Ndo nilivyosikia sikia hivyo. Wanadai washindi wengi after TPF hawafurukuti tena, so it's like hakuna mziki unaossuportiwa. Maana washindi hata hawaendelei na mambo ya mziki

Daaah ila ni kweli aisee, its like huwa wanakwenda kushiriki ili wapate pesa alafu basi.
 
Yeah...Safari hii naona wamekuja tofauti,nahisi itasaidia kama watakuwa serious

Walter ndo mshindi ninayemkubali zaidi miongoni mwa wote waliopita
 
Tatizo bongo swala la mtu kutungiwa nyimbo watu wanalichukulia tofauti..Mtu akitungiwa nyimbo anahisi jamii itamuona hajui au kaishiwa,Ndo mana hata baadhi wanaotungiwa uwa hawatoi credit kwa mtunzi,Utasikia tu minong'ono mtaani watu wakisema ila muhusika kwenye media wala hazungumzi..

Watu wakilielewa hili litasaidia sana kuinua sanaa..Tutapata mziki mzuri zaidi na Watunzi nao watapata chochote kitu
 
Jamani naombeni mwenye kujua ratiba ya marudio ya BSS aniambie maana umeme huu nina wiki ya 3 sijaangalia.
Vipi my dearest Kayumba Juma bado yupo?
 
Jamani naombeni mwenye kujua ratiba ya marudio ya BSS aniambie maana umeme huu nina wiki ya 3 sijaangalia.
Vipi my dearest Kayumba Juma bado yupo?

kayumba all the way to the trophy, unaweza kuichek jumamosi saa nane
 
kayumba all the way to the trophy, unaweza kuichek jumamosi saa nane

Oyooooo,I like him jamani.
Na namsapoti huyu mtoto Mungu amsaidie ashinde maana nitafurahi sana.
Asante sana,ile ya katikati ya week huijui?
 
Oyooooo,I like him jamani.
Na namsapoti huyu mtoto Mungu amsaidie ashinde maana nitafurahi sana.
Asante sana,ile ya katikati ya week huijui?

hiyo siijui
 
Daddy angel mary lazima awepo. Nahisi hapo kwa jackline kakengi atakuwepo angel mary. Hao wengine wapo exactly as I predicted. Daddy na douta tuna same taste

Mule mule yani me ningetupa kule huyo Jackie na Lupenza hapo anaingia mtoto mzuri Angelmary Kato na Doris
 
alisema kayumba ktk interview fupi
Eeh maskini me nakumbuka alisema alishindwa kuendelea na secondary afu sijui anauza mitumba vile. Looh nimepata sababu nyingine zaidi ya kumpigia kura teh
 
Jamani naombeni mwenye kujua ratiba ya marudio ya BSS aniambie maana umeme huu nina wiki ya 3 sijaangalia.
Vipi my dearest Kayumba Juma bado yupo?
Marudio clouds tv ni jumanne saa 5 asubuhi ( hii sina uhakika nayo sana) na Alhamisi Saa 8 mchana. Your dearest kayumba yupo anafanya yake kama kawaida
 
Kwa yule kiazi walter.wamuache tu Lile taji lilikua la Salma.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…