ndio zake huyu!mpaka ahkikishe mmebaki weupeeee
Yani kipindi kama hiki ndo kinachonifanyaga nisipende ushabiki wa Vitu. Hali yangu tete as if na me nashiriki kwenye Mashindano khaaa
I pray so daddyTunashinda Douta..Acha nchecheto
Hivi alikuwa anamaanisha nini akisema "NAWACHEKA KWA DHARAU"
Then watu wa escrow wanazitafuna kodi zetu. Wewe utakua ni ccm hufai kabisa.
Hahahahaaaa kumbe kaka yangu hunipendi kiasi hiki?
Asante sana.
Bora wewe,mimi nina ushabiki mbaya sana,hapa tu natetemeka.
Wakati Wewe Benki Balance Yako Inasoma Tsh 1,355/= Na Hapo Ulipo Mfukoni Una Tsh 400/= Ya Nauli Ya Kuamkia Kesho. Kweli The World Is Not Fair!
Hahhaha ndo maana me yakishaanzaga mambo ya team nakaa mbali. Nina mihemuko + kamoyo kadogo. Ila wewe Umezidi, nakusubiri after uchaguzi tehBora wewe,mimi nina ushabiki mbaya sana,hapa tu natetemeka.
Cpatii picha trh25 presha itakavokupanda ukisubiri lowasa kutangazwa mshindi
Wakati Wewe Benki Balance Yako Inasoma Tsh 1,355/= Na Hapo Ulipo Mfukoni Una Tsh 400/= Ya Nauli Ya Kuamkia Kesho. Kweli The World Is Not Fair!