Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Yeah Inawezekana kura zimembeba + ile style yake ya kumix vionjo vya diamond, kiba et al. But habari nzuri zaidi ni kuwa he is not a threat to our kayumba. Tupige tu kura ili Tusije tukalalamikaHilo mbona hata viziwi wanajua..Mana hata kama mtu hausikii ila show ya steve itakupa burudani..Kev labda kura zimemuokoa ila steve alistahili
Aah ujue kuna day nimechungulia insta niliona madogo wa yamoto band wanampamba sana kayumba.; Nikahisi labda wanatoka kitaa kimoja. Nimepata mwanga kidogo nowWatampa Kayumba tu..Dogo anajitahidi..Na ukiachia hivyo kuna mkono wa fela pale nadhani
Kayumba ni Yamoto band..Sema hajashiriki tu kwenye nyimbo zilizotoka tayariAah ujue kuna day nimechungulia insta niliona madogo wa yamoto band wanampamba sana kayumba.; Nikahisi labda wanatoka kitaa kimoja. Nimepata mwanga kidogo now
Yeah..kev sio tishio hapo...Diamond hajamwaga pesa nae?Yeah Inawezekana kura zimembeba + ile style yake ya kumix vionjo vya diamond, kiba et al. But habari nzuri zaidi ni kuwa he is not a threat to our kayumba. Tupige tu kura ili Tusije tukalalamika
Guest judge leo alikuwa diamond, kamwambia kayumba kuwa anasikia sana sifa zake mtaani, nikasmile
Oooh kumbe, basi anafit sana kwenye group. Anajitahidi mnoKayumba ni Yamoto band..Sema hajashiriki tu kwenye nyimbo zilizotoka tayari
Hahaah hajamwaga mapesa banaYeah..kev sio tishio hapo...Diamond hajamwaga pesa nae?
C.c Kaboom.Frida n Angel wanashare kiti, fainali wataperform wote.
Yeah kako humble katoto ka watu. Umesikia kuwa frida na Angel watashare seatYeah..halafu kanaonekana hakana makuu..kako-humble
Jumla watakuwa sita, ila ni top five kwa sababu kiti kimoja kitakuwa na washiriki wawili.Yani sio top 5 tena?? ni top 6 ama?
Yeah..halafu kanaonekana hakana makuu..kako-humble
Yani nimeingia kwenye page ya BSS but sijaelewa hata hiyo kushare ndo ipo vipi. Afu wameandika top 6 ni ......., na sio top 5Basi habari njema hiyo..Ina maana watashirikiana kwenye wimbo mmoja??
Hahahah hamna bana daddy, si itakuwa waliamua pale pale jukwaani bana. But people hazina hata habari na jack na kevTeh teh..Uenda people wameandamana..Bss wakaona isiwe shida ngoja tumrudisha..
Hahahah hamna bana daddy, si itakuwa waliamua pale pale jukwaani bana. But people hazina hata habari na jack na kev
Teh teh..Uenda people wameandamana..Bss wakaona isiwe shida ngoja tumrudisha..