Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
p funk zamani ilisemekana unatumia kilevi aina ya bangi sikuamini lakini kwa sasa naanza kuamini kwamba unatumia kilevi hicho..... kwanini unafanya hivyo lakini? sijakupenda hata kidogo mkubwa jirekebishe plz!!
Kwa kweli inawavunja moyo washiriki. Kwani ukimwambia mshiriki umejaribu kaongeze juhudi itakuwaje? kwa lugha zenu chafu majaji mnaua vipaji badala ya kuvikuza. Hivi Tanzania hakuna majaji wazuri zaidi ya hao vichaa wawili Master J. na huyo P-Funk sijui nani mzee wa majani?
Madame Ritha waondoe kabisa hao jamaa wawili wanapunguza umaarufu wa kipindi . John Kitine yuko wapi?[/QUOTE]
Bora ajipumzikie tu kama ni uamuzi wake. na hata kama kapigwa chini ni sawa tu. Nasema hivyo kutokana na jinsi ambavyo watanzania walivyokuwa wakimuamini kwakuwa ni mwanamuziki nguli lakini naye akaishia kufuata mkumbo akawa anaburuzwa na salama utadhani hajui muziki!!!Kama ritha angekuwa anasikiliza ushauri, master J asingekuwa jaji kwa miaka yote hii, na wala huyo mvuta bangi hangekuwa jaji. Lakinin huwezi kujua bana labda master J ana hisa kwenye hiyo 'project' kwahiyo lazima ashiriki kikamilifu mwanzo mwisho.
Niliangalia kipindi cha bongo star search cha j4 usiku,jaji p funk majani alipomuambia yule mshiriki akatafute mashuga mummy kwakuwa hajui kuimba,tv ilipomuonyesha jaji rita paulsen alionyesha kujikausha huku akichezea simu yake( kwa mara ya kwanza toka kipindi kuanza alikuwa serious), inaonyesha hiyo hoja ilimgusa yeye direct na huyo mtoa hoja alikusudia kumfikishia ujumbe yeye.
Rita ana umbo zuri,kuna mtu mwenye kujua age yake anijulishe?
😀 😀nikusahihishe bangi sio kilevi ni kiburudisho.......
....bangi inafanya uwe na akili ya ziada na mawazo mbadala sio kama ya p funky....tafadhalini sana msihukumu bangi
nikusahihishe bangi sio kilevi ni kiburudisho.......
....bangi inafanya uwe na akili ya ziada na mawazo mbadala sio kama ya p funky....tafadhalini sana msihukumu bangi
inaelekea wewe unaikosea, unatakiwa uwe na chakula tumboni kabla!We Yo Yo nani kakwambia bangi inakufanya uwe na akili!!? Bangi inakufanya uwe na Hasira nyingi na Nguvu kidogo. Sasa Jaza mwenyewe wacha kupotosha watu
inaelekea wewe unaikosea, unatakiwa uwe na chakula tumboni kabla!
Jamani.. hivi mapaka sasa hamjajua hii ni Reality show.. its meant for entrtainment.. producer wa show yeye ndo nataka vitu kama hivyo na anavi encourage kwasababu vina ongeza viewers.. ikiongeza viewers wao wana benefit though matangazo na njia nyengine.. ila the whole concept is to get u fired up vitu kama hivyo na hype..
Au hamkusika kua jaji alimjibu rudi mtoto mdogo kwenye show moja kama aina hiyo hiyo huko india. mtoto akajaribu kujiua.. akashindwa kwasababu ya remarks za jaji.. na jaji hakushtakiwa wala nini??
au aukusikia the famous show American idol ambapo Paula alimmaindi porducer kwa mui entertain a fan ambaye alikuwa stalker.. akaishia kujiua nje ya nyumba ya Abdula???
Ts for entertainment
Hapo kwenye bold ni neno la kudhalilisha na nilidhani BASATA wangeuliza mantiki ya kutumia lugha dhalili kama ile.Wanajamii,
Leo kwa mara ya kwanza nashuka katika jamvi hili nikiwa na maswali ya kuuliza. Napenda kuuliza kwa kuwa sina uhakika kama ninafahamu maana ya neno la kingereza celebrity yaa inaweza ikawa ni umaarufu au kusema ni mtu maarufu. Kama ndiyo hapa ndani ya nchi yetu nzuri Tanzania watakuwepo celebrity wengi sana. Lakini pamoja na kuwa nao kuna mambo yanafanywa na hao watu ninaowaita maarufu ambayo hayana maana kabisa katika jamii yetu. Hivi Juzi Jumapili ya tarehe 10 Mei, 2009 nilibahatika kutazama kipindi maarufu kwenye Luninga kinachokwenda kwa jina la Bongo Star Search kinachorushwa na Stesheni ya ITV. Kuna hawa watu maarufu ni maarufu kweli na hata kipindi chenyewe ni maarufu lakini kwa sasa naona kama kimekwishapoteza umaarufu. Maswali yangu ni haya: Hivi nini maana ya kipindi Hiki? Kwa ajili ya nani? Je washiriki wale wanavyotendewa na hao majaji (Judges) au kwa lugha ya kawaida waamuzi ni sahihi? Iweje kutumia lugha chafu kwa washiriki? Kuna mifano kama miwili iliyojitokeza juzi ..moja kwa mwanadada na wa pili kwa mwanakaka .. walilalilishwa kwa kweli.
Mwanadada: Aliimba kwa kadiri ya uwezo wake. Wakati wa majaji kutoa comments zao .mmoja alidiriki kumwambia huyu dada hawezi kuimba anachodhani anaweza aende akazae tu Hii maana yake nini? Ndio kujaji kweli? Halikadhalika;
Mwanakaka: kama alivyofanyiwa mwanadada naye kaambiwa akatafute ma sugar mummy kwa vile alikuwa smart Mtanashati ..inatisha
Sikuweza kujua kama kweli huyu Jamaa ana akili nzuri. Naomba nimtaje tu kwa sababu nia ni kumrekebisha na si kumsema vibaya. Ni kati ya wale majaji watatu anajiita P Funk. Mimi Binafsi na labda baadhi ya waliobahatika kutazama kipindi kile hafurahishi kwa comments zake. Anajaribu kuwe critique kama alivyokuwa Salama Jabir lakini si ki-hivyo. Ajaribu kuwa yeye asifanye vitu kwa kuiga lazima ataharibu.
Naomba tujadili hili kwa busara kwa ajili ya kuboresha kipindi vinginevyo sijaona maana yake kama hali itaendelea kama hivi. Umaarufu usiwe kero .
Ama hakika washiriki waliojibiwa majibu hayo ya kudhalilisha ya huyo anayejiita P.Funk... Kama hawatapata counselling wanaweza wakapata hali ya mfadhaiko wa akili...Haswa yule dada aliyeambiwa nina-nukuu "HUJUI KUIMBA...KAZAE HUKOO...TOOOKA ...MLANGO ULEEEE..." Mimi binafsi nilisikitishwa sana na kauli ile na zaidi pale alipomuambia yule aliyekuwa akiitwa Joachim...(Master J anaiitwa Joachim) Nina nukuu "Joachim wote ni vichaa..." Bora hata Salama Jabir huyu anayejiita P.Funk... Kazidi... Rita Paulsen... Kumbuka Coca-cola Pop star ilivyokuwa bomba... Ni hayo tu