Bongo po jaman upandaj kama huu?

Bongo po jaman upandaj kama huu?

kiongozi una wahesabu vipi hapo mi naona wako zaidi!!maana kuna watoto wawili,kwenye ndoo na mgongoni!!kule mbele wako watatu na hao wakubwa watatu,na huyo aliyebeba mtoto naona kama wako tisa!

Picha ya MziziMkavu ina watu8, ya Dotworld ina watu 9...na avatar yangu ina watu8 hakuna mtoto kwenye kisadol
 
ngoja wapate mzinga wafe waje na kiitikio cha kawaida cha mapenzi ya mungu.
 
na huyo wa kwenye ndoo ni maji au maziwa.

1. Tofautisha kati ya Profile Photo na Avatar (picha niliyoitolea ufafanuzi ni Profile Photo na ndiyo iliyowekwa hapa jukwaani na MziziMkavu
2. Picha iliyowekwa na mkuu Dotworld haifanani na ninayoitumia kama avatar kwa kuwa ina watu 9 na avatar yangu ina watu 8.

Sasa kwa kuwa hujafuatilia kwa makini nilichokuwa nikichat na Zamaulid, nilitarajia tu kuna watu wataokurupuka kama wewe...

Haya hebu angalia AVATAR ya watu8, the original version, na utueleze huyo mtu kwa ndoo yu wapi???

one-bike-eight-people-2.jpg
 
1. Tofautisha kati ya Profile Photo na Avatar (picha niliyoitolea ufafanuzi ni Profile Photo na ndiyo iliyowekwa hapa jukwaani na MziziMkavu
2. Picha iliyowekwa na mkuu Dotworld haifanani na ninayoitumia kama avatar kwa kuwa ina watu 9 na avatar yangu ina watu 8.

Sasa kwa kuwa hujafuatilia kwa makini nilichokuwa nikichat na Zamaulid, nilitarajia tu kuna watu wataokurupuka kama wewe...
umehamaki sana nilielewa ila lengo lilikuwa kujoke tu,hata hivyo za asubuhi.
 
Back
Top Bottom