Bongo po jaman upandaj kama huu?

Bongo po jaman upandaj kama huu?

Hupo??kweli nimeamini nayoyaona JF huwa na mtaani yanatokea nakusalimia mimi sijambo!!Tupo na maisha kiJF zaidi hata mtaani ni maisha hayohayo usanii mwiiingiiii!!:cheer2:

kwani wewe ulifikiri kwamba jf ni maisha mengine na wanaish ulimwengu mwingine?? sote tuanish duniani tena mule alimotupwa shetani aliyekuwa malaika wa sifa mbinguni.

sasa usione tunaonana kweye keybodi ukadhan kwamba haya ni maneno tu, hapana maisha yetu ni yaleyale na yako vile vile.

ukiusemea usanii utaulizwa na wasanii wewe uliigiza part gani?? ilikua nzuri ama mbaya?? ulifikisha ujumbe wka hadhira ipasavyo ama hukufikisha and so forth
 
"thought takes man out of servitude into freedom"
'daima tudumu katika upendo'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom