Mkuu hawa watoto wanatofautiana na watoto wetu tunaowalea kama mayai!hasa hako kadogo akiongeza speed hapo sijui kwakweli kitakachotokea
Teh teh teh!majina ya kikwere!ukisikia watu8 ndio hiyo sasa..
Hapo ndipo na mimi nilipolewa bila kunywa pombe!nani anaye endesha hapo!!!
Nadhani yeye anaongelea picha ilitumwa na MziziMkavu na wewe unaongelea picha iliyotumwa na Dotworld.Actually they do differ to each other!kiongozi una wahesabu vipi hapo mi naona wako zaidi!!maana kuna watoto wawili,kwenye ndoo na mgongoni!!kule mbele wako watatu na hao wakubwa watatu,na huyo aliyebeba mtoto naona kama wako tisa!
Na bado mkuu tarajia kuona vituko zaidi!kila kukicha kinazuka kituko kipya duniani
MziziMkavu huyo dogo aliyevaa kanyea humohumo (kanyela mumo) amekuona unawafotoa na alijua utakuja warusha kwenye mtandao hapo anakunyooshea kidole kukuambia weewee na huku akijaribu kumtaarifu mkubwa wake tunafotolewa bila ridhaa.![]()
BONGO IPO UPANDAJI KAMA HUU JAMANI?
umehamaki sana nilielewa ila lengo lilikuwa kujoke tu,hata hivyo za asubuhi.
Hivi humu JF kuna mtu anaitwa watu8,mbona jina lenyewe baya na halina mvuto!teh teh teh!
wapo nane hapo mkuu...hiyo ndio profile photo yangu
Teh teh teh!mkuu umenichekesha sana!
:boink:Hivi humu JF kuna mtu anaitwa watu8,mbona jina lenyewe baya na halina mvuto!teh teh teh!
What does it imply?Uchokozi?:boink:
hahahah...Teh teh teh!mkuu umenichekesha sana!
Nadhani yeye anaongelea picha ilitumwa na MziziMkavu na wewe unaongelea picha iliyotumwa na Dotworld.Actually they do differ to each other!
hahahah...
Nikiwa Rais lazima wewe utakuwa Waziri Mkuu wangu, naona unaelewa haraka mno.....