Bongo na Wimbi kubwa la Wadada Wasagaji-Wamekosa nini kwa Wanaume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo na Wimbi kubwa la Wadada Wasagaji-Wamekosa nini kwa Wanaume?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MaxShimba, Oct 18, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Utakubaliana na mimi kuwa wadada wengi sikuhizi wamekimbilia mapenzi ya Jinsia moja ..tunawaona huko makazini na pia mashuleni...nini Wamekosa ??????
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,265
  Likes Received: 10,881
  Trophy Points: 280
  Mapepo!!!
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Swali zuri kwenu wanaume, wanawake wamekosa nini kwenu wanachopeana wenyewe kwa wenyewe?
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 22,875
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Wanaume wenyewe ma-barubaru.
  Nani anataka kujiingiza matatizoni?
  Bora nitafute mwenzangu ambae hanisumbui.
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Mmh madameB. Hata wewe pia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 599
  Trophy Points: 280
  siku hizi sijui umekuaje!!!
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,820
  Likes Received: 5,048
  Trophy Points: 280
  Mmmh haya bana mm hapa sina neno yaani sipawezi kabisaaaaaaaaaaa.
  Hahahahah naona wanajaribu kuhalalisha

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 10. z

  zodiac Senior Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heeee! Na wewe ndiyo ulivyo? Mabwaku!
   
 11. z

  zodiac Senior Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshangaa na mimi!!!!
   
 12. m

  madmankache JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 813
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Duu! Wanaume 2jipange
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,287
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Na wamejaa kila kona
  Kuna haja ya kujiuliza maswali mengi ya msingi..
  Kuna dada/mama mmoja alikuwa analalama mbele ya wanawake wenzie alikuwa ameolewa wakaachana na mzee wake sasa ni msagaji aliyekubuhu...
  Nanukuu

  Mwanamme mwenyewe haniridhishi
  Kunipiga anipige
  True love hana
  Mahitaji nyumba yanasuasua labda ajira yangu ndo inaniweka mjini

  Kisa nini ngoja niende kwa mwanamke mwenzangu kwanza haniumizi na anajua nataka nini
  mungu apishe mbali sijui huyo mmewe alikuwa amuumiza nini?sikutaka hata kuuliza

  Jahazi linaelekea kuzama,wanaume okoeni maana sijui wanawake wanakosa nini kwenu.
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Woooow that is something to NOTE
   
 15. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wanaume siku hizi wanakunywaaaaaaa na misigara, baada ya miaka kadhaa hazinyanyuki mpaka kwa booster, lishe yenyewe chipsi yai na urojo, saa ngapi??? ila kwa kweli KUSAGANA ni laana! MUUMBA WETU JUU ATAIANGAMIZA DUNIA!
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145

  Too much expectations from men and Too much women freedom....
   
 17. z

  zodiac Senior Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unaongelea wanaume au hivyo vinyoa kiduku na kuvaa kata K? Wenyewe mnawahangaikia kuwalea, kuwapangia nyumba mnawalilia wakiwaacha! Kina diamond, Hemed, Ray ndo mnawakimbilia halafu ukae kusema wanaume? Tafuta mwanaume mwenye tabia za kiume, tena wale wanaokata makofi ndiyo wazuri, yani unakuta demu anapigwa lakini akikumbuka six by six mwenyewe analilia! We unatafuta mwanaume unayefanana naye? Hataki kula ugali anataka Burger? Huyo sasa si mwanamke mwenzio tu? Kama unataka NI-PM upate kusuuza hiyo kitu mpaka unajikuta wiki nzima hautaki.
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Wanaume wachache siku hizi
   
 19. z

  zodiac Senior Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa hawajapata rungu ya ukweli wakachengwa mpaka achubuke! Unalambwa hiyo kitu kwa nusu saa, then kazi inaanza kama dakika 30 nyingine unaenda kuoga halafu ukirudi unapiga raundi ya pili dakika 40 sijui kama atakuacha aisee! Wanawake wa siku hizi unapiga kimoja tu anaanza kulalamika eti amechoka, mara oooh nimechubuka! tafuteni midume ya ukweli sio visharobaro muda wote kinajiremba tu!
   
 20. z

  zodiac Senior Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo wachache sana ila ndiyo maana tunawasaidia wawe nyumba ndogo zetu ila ndiyo wanatuona tunawanyanyasa wakati unakuta ukiwa unagonga mzigo fresh, sio chini ya wanawake watano watakung'ang'nia! Fulu kukata mauno! Mie nawashauri kina dada watafute wanaume wa kiume siyo wala chips na burger, kutwa kucha wanashinda Quality plaza kujipitisha kama wanawake! We unakutana na mwanaume anapaka powder, lip shine, anasugua kucha, anaongea akibana pua then we ndiyo unaona umepaaaaaaaata! Uchuro tu huo!
   
Loading...