Bongo movies...


jambazi lazima livae koti la mvua au suti na miwani,Dar na jua lote hili?afu linashika kibastola cha watoto,kinalia kama ubao umeangushwa paaa!
 
Bunduki hazina silencer lakini mlio wake sasa...kama vitoy.
 
Sababu ya kuigiza kwenye nyumba za watu, jambazi anavua viatu ndio anaingia kufanya ubaradhuli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…