Jamani wana jf tusaidiane katika hili pia, subtitle kwenye filamu zetu za kinyumbani mi naona bado ni mzozo! Ina maana hao maprodyuza na madairekta hawana uwezo wa kutafuta watu ambao ni compitent ktk lugha hizi mbili yaan eng and swahili au ndo bajeti finyu?!!!! Kwa mpango huu kuvuka boda itachukua muda sanaaaaaaaaaaaa
ni aibu harafu ni hasara kwao maana wanakosa soko la nje kwa ubahili wao. na inakuwaje wanatoa filamu hata bila kuedit hizo lugha!!!!!!!!!! wanaangalia mavazi tuu.
Jamani wana jf tusaidiane katika hili pia, subtitle kwenye filamu zetu za kinyumbani mi naona bado ni mzozo! Ina maana hao maprodyuza na madairekta hawana uwezo wa kutafuta watu ambao ni compitent ktk lugha hizi mbili yaan eng and swahili au ndo bajeti finyu?!!!! Kwa mpango huu kuvuka boda itachukua muda sanaaaaaaaaaaaa
mi kinanikera sana pamoja na tatizo la uhalisia ktk sinema zetu.pale BAKITA kuna wataalam wakali sana wa kiingereza na wanafanya kazi ya tasfiri muda mrefu.kwanini wasiwatumia hawa ????
mi kinanikera sana pamoja na tatizo la uhalisia ktk sinema zetu.pale bakita kuna wataalam wakali sana wa kiingereza na wanafanya kazi ya tasfiri muda mrefu.kwanini wasiwatumia hawa ????
hapo ndo nashindwa kuwaelewa!!!!!!!!!!!!! Wanafanyia mazoea na hawatumii muda kujiridhisha na viwango wanavyotengeneza!! Na pia suala la fake scenarios.....yaan dahhh
Jumapili kwenye saa tatu na nusu usiku TBC1, walionyesha movie ya hao Step entertaiment. Jina la hiyo movie ilikua ni aibu,,
Iliitwa eti "Precious (Siri ya moyo wangu)"

Mimi sijaona hii filamu, lakini suala la kubadilisha "title" ya filamu katika tafsiri ni jambo linalotumiwa sana. Mara nyingine, mbali na kuangalia tafsiri ya maneno tu, vilevile inazingatiwa jina linalotoa mvuto zaidi kwa filamu. Unafikiri jina TUNU, THAMANI lingelikuwa bora kwa "Precious" katika mukhtadha wa filamu yenyewe?