charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,989
- 4,413
Haya kama huaminiUongoo[emoji28][emoji28]
Haya kama huaminiUongoo[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana iyo sasa kuna ingine nimeona jana jini anacheki uku na kule ndo avuke Barbara.achana na hiyo me niliangalia movie ya kibongo mtu anaendesha gari akapigwa risasi ya kichwa akapaki kwanza gari pemben ndio akafa RIP BONGO MOVIE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa movie za wanaume ni zipi mkuu.Mwanaume unaangalia bongo movie huo siu Nandy
HahahahahahahahahahaaaaNyingine polisi kamkamata mtuhumiwa anamwambia apande gari subtittle "plant a car "
Nyingine polisi kamkamata mtuhumiwa anamwambia apande gari subtittle "plant a car "
Ngoja niitafute hiyo movie nikupe jina lake uicheki.Hehehehe hapa umetudanganya