Bongo movie Sasa wamezidi

Bongo movie Sasa wamezidi

Labda waharifu wanafundishwa mbinu za kuacha uharifu kwa njia ya maandishi
 
Nimeona nilete huu Uzi hapa kutokana na movie nlio kua naiangalia sijaielewa kabisa

Ati movie imeigizwa maabusu Kuna ubao wa chaki .. he hili Ni kweli?
Yaani umebisha uwepo wa ubao, HALAFU UKAOMBA UELEWESHWE... kwa hiyo umebisha usichokijua?
 
achana na hiyo me niliangalia movie ya kibongo mtu anaendesha gari akapigwa risasi ya kichwa akapaki kwanza gari pemben ndio akafa RIP BONGO MOVIE
ha ha ha...kama wasipobadilika ,kifo cha mende kinawahusu!
 
achana na hiyo me niliangalia movie ya kibongo mtu anaendesha gari akapigwa risasi ya kichwa akapaki kwanza gari pemben ndio akafa RIP BONGO MOVIE
Sasa nan muongo zaidi kati ya bongo .movie na wahindi.....tuambie na RIP Bollywood utaeleweka...
 
Jana niliachwa ho mtu anagonga mlango sasa "nani" kwa kiingereza ni "who is it" kwa kuwa mi mwenyewe la saba nikabaki natoa macho tu na hiyo subtitles
 
Back
Top Bottom