Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,686
Tutamwomba Mwakyembe apige marufuku mabasi kuonyesha bongo movie. Hii itawafanya bongo movie wawe creative kuboresha bidhaa zao na kutafuta masoko zaidi
Nimepanda ndugu yangu,Umewahi kupanda matatu za Kenya mkuu?!
Do a little thing with the great love ~ Mother Theresa
Mkuu naona unaogopa kivuli chako mwenyewe, nikufikirishe tu kwa kukuambia huo ndio Utanzania wetu na ndio maana hatuna tofauti, hayo maisha wanayoishi hao unaowaita "wenzetu " sisi huku kwetu hatutakiwi hata kuyaangalia tu ndio hayo hayo leo tunalia kuhusu utamaduni wetu kuporomoka hadi kufikia watu kuanza kuvaa nguo za ndani nje, kugombea haki ya kuwa shoga na tabia zingine za ajabu ajabu.Tatizo watanzania upole au sijui niseme woga ndio umetuzidi
Hakuna wa kulalamika mtu mpaka kichwa kinauma uko kimya tu
Kwa kweli sheria ingetoka wizarani kuwa ni marufuku kelele kwenye public transport
Dereva inatakiwa awe makini ajue kinachoendelea kwenye gari.
Kama kitu kimeharibika au exhaust imevunjika yeye anaenda tu ndio maana na ajali zinatokea kwa sababu hizo
Waziri husika angeambiwa
Mbona wakija Ulaya wanaona wenye heshima why kwetu na wanalifumbia macho?
Unapanda bus Ulaya au train wameandika kabisa heshimu aliekaa karibu yako punguza sauti ya simu yako kama ni mziki.
Yaani hadi raha unauchapa na usingizi bila buqhudha kabisa.
Huku kwetu wengine wanaingia na kuanza kuuza visabuni yaani ni kero tupu
Ni muono wako huo piaMkuu naona unaogopa kivuli chako mwenyewe, nikufikirishe tu kwa kukuambia huo ndio Utanzania wetu na ndio maana hatuna tofauti, hayo maisha wanayoishi hao unaowaita "wenzetu " sisi huku kwetu hatutakiwi hata kuyaangalia tu ndio hayo hayo leo tunalia kuhusu utamaduni wetu kuporomoka hadi kufikia watu kuanza kuvaa nguo za ndani nje, kugombea haki ya kuwa shoga na tabia zingine za ajabu ajabu.
Pia nikufikirishe kuwa hivyo vitu unavyoona havina maana na ni kero kwa macho mawili kwenye jicho la tatu ndio vinavyotufanya leo kujivunia Utanzania wetu vinginevyo ingekuwa dhana ya "kivyako" imeshamiri na matokeo ni mabaya
Umempa waziri ushauri apige maarufuku, sijui labda na yeye anaamini dhana ya "wenzetu ni Nora kuliko sisi" anaweza kukusikiliza
Kitendo cha mtu kukusogelea na kukuuzia sabuni kwenye basi ni upendo na mshikamano uliotukuka kwa Utanzania wetu ambapo anakuja kwa Mtanzania mwenzie
Nimalizie kwa bongo muvi, hii dhana pia ya kumkarimu mteja ili asichoke awapo safarini, ikiwa wewe unaboreka wapo wanaofurahia na hucheka nimekwishawashuhudia na kumbuka kuwa katika usawa mmoja wa matamanio ni nadra sana kutokea kwa binadamu.
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Ni bora ukawaambia sababu hiyo ni dharura na lazima izingatiwe sio kukataa tu kwa kuwa ni utaratibu wetu na tulete wa "wenzetu"Ni muono wako huo pia
Lakini siku umeondoka na mgonjwa ndio utajua
Kweli tuna utofauti
Kuna wengine wanafurahia kwa sababu ya so called utamaduni lakini ujue ni kila aina ya watu wanapanda.Ni bora ukawaambia sababu hiyo ni dharura na lazima izingatiwe sio kukataa tu kwa kuwa ni utaratibu wetu na tulete wa "wenzetu"
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Mkuu sina jazba kabisaaa nipo poa nilikuwa najaribu kuelezea tu vitu vyetu vidogo vidogo tunavyoviona havifai lakini vina mchango mkubwa sana kama taifaKuna wengine wanafurahia kwa sababu ya so called utamaduni lakini ujue ni kila aina ya watu wanapanda.
Ingawa umeongea kwa jazba sana lakini hayo ni maono tu
Thanks a lot buddy,Mkuu sina jazba kabisaaa nipo poa nilikuwa najaribu kuelezea tu vitu vyetu vidogo vidogo tunavyoviona havifai lakini vina mchango mkubwa sana kama taifa
Na kuikataa dhana ya "wenzetu" kama rejeo kuwa ni bora kuliko sisi
Sina jazba narudia tena, karibu kunilisha ubongo mkuu
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app