Bongo Movie 2018

Bongo Movie 2018

MITANDAOO..YAZUA BALAA NDANI#KILA MTU NA SIMU YAKE NDANI#BABA NA WATOTO#NI MWENDO WA MTANDAO#FACEBOOK#WHATTS APP#
APAKALIKI NDANI#MZEE MAJUTO#MUHOGO MCHUNGU#

 
HABARI ZA JUMATATU#NATUMAINI WOTE MKO SAWA WATU WANGU WA NGUVU#MI KAWA KAWAIDA NAENDELEA KUWAPA BURUDANI#

MOVIE MPYA :KASUMBA ZA NDOA
[HASHTAG]#SIKU[/HASHTAG] ZOTE TUNAJUA NDOA ZINACHANGAMOTO MBALI MBALI#ANGALIA HII FILAMU YA AUNTY EZEKIEL.KATI MOVIE BORA ALIZOCHEZ>BOFYA LINK NISKUPE UHONDO WOTE BALI KAANGALIE MOVIE:
 
MPYA MPYA 2018#
BONGO MOVIE MPYA😛ENZI LA JOKATE😛ENZI TAMU LA JOKATE LA CHANGANYA WATU>BOFYA LINK CHINI:
BONGO MOVIE MPYA😛ENZI LA JOKATE😛ENZI TAMU LA JOKATE LA CHANGANYA WATU>

 
Ni filamu mpya ya comedy ya kiswahili itakayokuacha ukitabasamu ndani yake kutana na Father House mwenye wapangaji wenye vituko vya kila aina lakini mmoja wake ni mbabe kuliko wenzake na msumbufu kulipa kodi, Je father house anamudu vipi angalia movie ujione visa hivi.

 
MOVIE MPYA#MZEE JENGUA NDANI YA MOVIE YA KUSISIMU#NIMERUDI NA NGUVU MPYA.BOFYA LINK CHINI UPATE UDAMBU UDAMBU WA MOVIE HII:
 
Frank ni kijana ambae anaishi na mpenzi wake lakini ghafla kinamtokea kitu ambacho kinabadili maisha yake na kumfanya awe mtu wa ajabu ambae anakuwa hajisikii vizuri kuishi bila kupata damu anapoteza maisha ya watu wengi, Je nini mwisho wake baada ya kutafuta njia kwa mganga.
BOFYA LINK CHINI:
 
MOVIE MPYA#BONGO MOVIE#2018
ANGALIA MILA ILIVYOMGHARIMU HUYU KIJANA MAISHA YAKE,NI HALI YA KUSIKITISHA LAKINI MAISHA NI CHANGAMOTO NA KILA SIKU TWAZIPITIA#BOFYA CHINI UANGALIE KIUNDANI NACHOOMANISHA#

.BOFYA LINK CHINI UPATE UDAMBU UDAMBU WA MOVIE HII:

 
NANI KAMA MAMA#MOVIE MPYA 2018
nikikumbuka zamani nilipokuwa mtoto,nikumwa usiku mamah!lazima mama animbilie na kunisaidi,sina kingine cha kukulpa mama yangu#bali ni upendo usio na kipimo:
NANI KAMA MAMA#
BOFYA LINK CHINI:

 
[/QUOTE]
Bongo muvi alishafariki nayo Kanumba. Tulishaizika. Waliobaki ni malaya na wauza miili tu. kuigiza hawajui.
 
MOVIE MPYA YA ACTION#BONGO MOVIE ACTION#KARIBU ANGALIA NA ENJOY MOVIE MPYA NA BONGOSTAR FLIX#
BOFYA LINK CHINI UPATE NAFASI YA KAUNGALIA MOVIE HII#

 
WADAU WA BONGO MOVIE:
NI MWENDO WA MOFAYA:
MOVIE MPYA YA MTOTO WA SHEIKH:
INAPATIKANA BONGOSTAR FLIX:
MENIPENDEZA KUWALETEA POST HII YA,UTUME UTANGULIZI KWA KUWEKA USHAHIDI WA HICHO UNACHOKIAMINI WEWE KWANZA.:BOFYA LINK UWEZE PATA NAFASI KUANGALIA MOVIE NZURI INAYOFUNDISHA NA KUELIMISHA JAMII YETU NA DINI

:
 
WADAU WA BONGO MOVIE MPOA JAMANI:WIKI MPYA:MAPAMBANO KAMA KAWAIDA:
MOVIE MPYA KAWAIDA#MOVIE YA KUTISHA 2018:BOFYA LINK NA KU SUBCRIBE HAPA CHINI,USIKOSE UHONDO WA FILAMU:
 
UPENDO WA KWELI.-Ndani ya movie hii muuza genge James anatokea kupendana kwa dhati na binti Lizzy ambapo binti huyo anakataa penzi la tajiri Bony na kutaka kuolewa na James, Bony anapata hasira na kwenda kwa mganga huko anapewa dawa ya kumpofua macho James lakini haipunguzi mapenzi bado kwa lizzy, Je wazazi wa lizzy watakubali mtoto wao aolewe na mtu kipofu, fatilia zaidi.
bofya link upate nafasi kutizama movie:

 
MOVIE MPYA 2018#KACHUMBARI TIME#
Mika, Jully na Peter ni ndugu watatu ambao wanaishi pamoja ila Mika yeye ni mtoto halali wa kwenye ndoa hivyo anajihisi ana haki zote za kumiliki nyumba, anakuwa analalamika kurogwa na ndugu zake hao wawili na mpaka baba yao mdogo anakuja kuwaamulia lakini Mika anamua kuondoka huku nyuma Peter anamleta mwanamke ambae anamteka kimapenzi baba yao huyo mdogo huku tayari akianza penzi jipya na mwanae Jully, Je nini kiliendelea katika nyumba hiyo fatilia zaidi.
BOFYA LINK NA KU SUBCRIBE,ENJOY MOVIE ZETU:
 
KACHUMBARI TIME MUDA WA BURUDANI SAFI KABISA#
NA BONGO MOVIE 2018
FUMANIZI#LAZUA BALAA#ANGALIA FILAMU HII MPYA ENJOY:
BOFYA LINK UPATE NAFASI KUANGALIA MOVIE HII NZURI KITONGA:

 
POPCORN TIME NA MOFAYA [HASHTAG]#MPYA[/HASHTAG],MPYA,SIO YA KUKOSA#SERIES MPYA 2018#KOVU LA DHAMBI#TAMTHILIA YA KISWAHILI#

TRENDINGSERIES#MAADILI,VICHEKESHO,FAMILIA,

MAPENZI,USALITI,MAISHA NA MAPENZI.

BOFYA LINK HAPA CHINI NA KU SUBCRIBE(SHARE NA MARAFIKI)



 
KWA MADIBA#MOVIE MPYA 2018#BONGO MOVIE
Jordan anapata muamko wa kwenda Afrika kusini kutafuta kazi baada ya kumuona kijana Daru karudi akiwa na mafanikio na kumshawishi na yeye aende huko hivyo Jordan anapata msaada wa kifedha kutoka kwa mchumba ake Jack ambae nae anachukua pesa hizo kwa kaka yake, Je alifanikiwa kutimiza ndoto za Afrika kusini fatilia zaidi.
Bofya link hapa chini na kisha ku subcribe kwneye channel hii,usipitwe na movie hii ya mzee jengua

:
 
Back
Top Bottom