Bongo Movie 2018

Bongo Movie 2018

Katika movie hii ya kusisimua ambayo mwishoni itakuacha na simanzi inamuelezea Samirah na mpenzi wake Ram ambao wote wawili wanapendana sana na upendo wao unakatishwa pale kijana Thoby anapotokea kumpenda Samirah na kumtolea posa huku Samirah bila kujua kama posa haikuletwa na mpenzi wake Ram anakubali kuolewa, fatilia zaidi movie hii nzuri upate kujua hatima yake.

NIZIKWE HAI PART 2 ,MAPENZI,WIVU,UNAFKI,SIRI ZA NDANI ZA MAPENZI.PART 2 BILA KUKOS..MOVIE NI HIGH QUALITY YA HD,MOVIE ZETU NCHI YET VIPAJI VYETU.
LINK BELOW

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

:
 
PENZI LANGU 1-Katika filamu hii ya kusikitisha inaelezea jinsi mwanadada Diana alivyoweza kuvumilia kuteswa na kunyanyaswa na mme wake Charzy akiwa katika ndoa amekuwa akiishi kwa kuteswa kwa kupigwa mara kwa mara na mumewe bila kutambua haki na uhuru wa mke katika ndoa fatilia kisa hiki cha kusikitisha na mwisho Wa wanandoa hao.

PENZI LANGU MOVIE MPYA 2018.
BONGO STAR FLIX HD CHANNEL..BONYEZA LINK AND ENJOY.

FILAMU INAYOSISMUMUA NA KUELEZEA MAAMUZI YA WAPENZI KWENYE HALI UGUMU WA MAISHA..BONGOSTAR FLIX CHANNEL..

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

KAMARI - Katika simulizi hii ya kusisimua inamuelezea bwana Ibra na mkewe Baby ambao wanakutana na changamoto za maisha zinazowapelekea kukutana na kijana Erick anayejifanya kuwa kama mfadhili wao huku kumbe ipo siri kubwa iliyojificha kati yake, fatilia nini chanzo na hatima ya maisha yao katika filamu hii ya kusisimua.

FILAMU INAYOSISMUMUA NA KUELEZEA MAAMUZI YA WAPENZI KWENYE HALI UGUMU WA MAISHA..BONGOSTAR FLIX CHANNEL..

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

NYAO ZANGU 1--Lau anakumbana na matatizo makubwa ya kimaisha ambayo yametokana na kufirisiwa na mkewe Agatha ambae alimkabidhi mali nyingi ikiwa chanzo tu ni kumsaidia mdada Isabela na mdogo wake ambao walikuwa wakiishi katika mazingira magumu, Nini chanzo na matatizo aliyombana nayo Lau fatilia zaidi.

ACTORS/CAST: -MARTIN MWASAGA, JACKLINE JAMES, DIANA SANGA, MUBARAKA ALLY.

PRODUCER:MARTIN MWASAGA

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

BONYEZA LINK CHINI UJUE KIUNDANI YALIOJIRI?

MOVIE ILIYOTUMIA BUDGET KUBWA YA PRODUCTION NA UHALISIA NA UTAMADUNI,KATI YA MOVIE BORA ZILIZOFUNGA KAZI.TONI MUIGIZAJI AFUNIKA ENJOY THE WEEKEND NA MOVIE ZA BONGOSTAR FLIX CHANNEL.

ALFONCIA 1-Ni movie nzuri ya action ya kiswahili yenye ujumbe ambapo Mohammed anahangaika kujua nini chanzo na suluhisho la tatizo la mdogo wake Alfoncio la ndoto linalompelekea kufanya mambo bila kujijua na kuteseka kwa tatizo hilo , fatilia zaidi uone nini chanzo na hatima ya kisa hiki.

ACTORS/CAST:RIYAMA ALLY, HISSAN MUYA, HAMZA PELEGE, MARIO CATHLESS
PRODUCER:JOHN MLULU, AHMED SHIFTA
Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

WEEKEND LAZIMA IWE NA COMEDY KIDOGO BWANA,BONGO STAR FLIX..MOVIE ZA UBORA TUNAKUPA BAMBO VITUKO.ENJOY YOUR WEEKEND.

zigo la lawama 1-Kutana na kisa cha bwana Robby na wake zake wawili katika ambapo bwana Robby anatokea kuwa na sifa mbaya na lawama nyingi katika jamii inayomzunguka na mwisho wa siku anaamua kuongeza mke wa pili, Je nini kinachopelekea kupewa lawama hizo fatilia zaidi.

ACTORS/CAST:-SALEH GABRIEL HATIA, MOHAMMED FUNGAFUNGA, FULL TANK,DICKSON MAKWAYA.
PRODUCERS:SALEH GABRIEL HATIA

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

FADHAIKO LA MOYO-Katika movie hii iliyojaa matukio ya kufedhehesha likiwemo la bwana Yakub na mkewe Hindu ambae Hindu anatokea kuwa na tabia mbaya kumdharau na mpaka kumsaliti mumewe huku rafiki yake wa karibu aitwae Mai anakuja kumgeuka na kuolewa na mumewe hivyo basi fatilia movie hii ukutane na mikasa ya familia tofauti zilivyojaa tamaa na usaliti.

CAST/ACTORS:-RAJAB NKII, MAINDA MAKWIRO, YAKUBU JUMA, HINDU MUSSA.

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

NEW,NEW,NEW.............MOVIE MPYA YA MAPENZI NA MAFARANGANO YA KIFAMILIA..BONYEZA CHINI YA LINK HII:

CHANZO 1-Tony na mkewe ndoa yao inakuwa katika misukosuko pale ambapo tony anapomlazimisha mkewe kupata mtoto huku bila kujijua kama yeye ndio mwenye tatizo, mke wake anatumia kila njia ili aweze kupata mtoto lakini bado hata baada ya mtoto nyumba haina amani, Je nini chanzo fatilia zaidi. bonyez link hii na enjoy movie nzuri ya mapenzi na familia za ki Tanzania.

MOVIE MPYA 2018 YENYE VISANGA VYA MAPENZI NA USALITI NIZKIWE HAI PART 1.
BONGO STAR FLIX HD CHANNEL..BONYEZA LINK AND ENJOY.

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

NEW NEW...MOVIE MPYA,NAHISI MNAMJUA MUIGIZAJI HUYU?
NI MOVIE YA ACTION MWANZO MWISHO.USIPITWE

Mac anaachishwa kazi na boss wake kumbe lengo ni kumshirikisha katika biashara zingine zisizo za halali anafanyiwa unyama wa kila aina ikiwemo kuteswa kwa mke wake inampelekea mpaka kubadilika kitabia na akili fatilia zaidi filamu hii ya kusisimua. BONYEZA HAPA CHINI..UJIPAKULIE MOVIE.

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako,ahsante sana tuendelee ku support Bongo Movie.

NEW#NEW#MOVIE Bongostar Flix

DALALI WA MAWAKA,ATAPELI NAKUINGIA MITINI.ANGALIA KIUNDANI MBINU ZAKE ZA KITAPELI NA UDALALI.
Ni movie mpya ya kiswahili ambapo bwana chai ni tapeli anaejifanya kuwa wakala wakusafrisha vijana kwenda arabuni kufanya kazi wanalipa pesa na kuishia kutapeliwa, Dor anaetaka kumsaidia mpenzi wake Chid asafiri nae anajikuta akitapeliwa kwa kuambiwa kuwa mzee huyo amefariki kumbe yupo hai, fatilia zaidi movie hii nzuri likiwemo penzi zito la Dor na Chid.

ACTORS/CAST:OGU NGARA CHARLES, MARION AFANDE, JUMA MWATSEKA, REHEMA RAJAB

PRODUCER:BI ASHA ATHMANI
MOVIE MPYA 2018 YENYE VISANGA VYA MAPENZI NA USALITI NIZKIWE HAI PART 1.
BONGO STAR FLIX HD CHANNEL..BONYEZA LINK AND ENJOY.

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

BUKU KUMI YAZUA BALAA............MOVIE YETU MPYA KATAIKA CHANNEL YA BONGOSTAR FLIX.
Filamu ya kiswahili ya comedy itakayokuacha ukitabasamu pale Masele cha pombe anapokanyaga pesa kwenye kiatu chake bila kujijuana kusababisha kutokea kwa mfukuzano juu ya hela hiyo, Ingia ndani kujionea vituko vitavyokuacha ukitabasamu

ACTORS/CASTS:MASELE CHAPOMBE, TINI WHITE, GONDO, SHARO

PRODUCER: MASELE CHAPOMBE
Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

JINA LA MOVIE:VYUMA VIMEKAZA
Ni movie ambayo inaelezea maisha ya chini ya kijana mmoja ambae ni msanii wa muziki jinsi anavyohangaika katika kujitoa kimaisha lakini jamii inaonekana kuwa kama changamotokwake,Ni vp fatilia zaidi kujua nini kilitokea katika harakati zake.

ACTORS/CAST:ALI ABEID, MARION AFANDE, MBEGA MWARUFE, FLAPPER MAXWELL

PRODUCER:RAGEPICTURES
Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

MOVIE MPYA: HOUSE GIRL BOUNCER#VITUKO#COMEDY#BONGO MOVIE#2O18
Belinda ni mwanaume anaejifanya mwanamke ili apate kazi ya usaidizi wa ndani baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta ili aweze kuitunza familia yake mke na mtoto, kutana pia na bwana Daniel ambae ni boss wake belinda , Je nini kitaendelea ndani ya movie hii fatilia zaid.
ACTORS/CAST:ENOCK KOBELO, VAILETH MICHAEL, RICHARD NKO, STEVEN MAPUNDA
PRODUCERS:ENOCK KOBELO FILM

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

MOVIE YA KICHAWI 2018 MOVIE MPYA#
Adam kijana anayetokea katika familia ya kimasikini anaelekea mjini kutafuta maisha lakini kwa waganga yani njia mjadala ili kutoboa kimaisha. Adam anakosea masharti na kupotea ghafra huku maiti ya baba yake inabuka duniani na kuanza kusumbua watu. Fuatilia kisa hiki hapa cha kusisimua.

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

BONYEZA LINK HII:
 
MZEE MAJUTO ANA MTIHANI MKUBWA SANA NA WATOTO WAKE WA KIUME WAWILI.
Ni movie nzuri ya kiswahili yenye maadili ya dini kwa rika zote pale mzee Majuto anapobarikiwa watoto wawili, mmoja ni mcha mungu na anasaidia kuhamasisha vijana wengine kufanya matendo mema lakini mwingine ni mtukutu , zama ndani zaidi upate kujifunza mengi katika movie hii.

Nachoomba kwako ni kuingia na ku-subcribe tu,movie zetu kazi zetu,vipaji vyetu,wote tu support na kukuza soko letu.

1. Bofya link hii hapa

Bongostar Flix

2. Nenda kwenye neno SUBSCRIBER bofya hili neno.

3. Baada ya kubofya litabadilika na kusomeka SUBSCRIBED ikimaanisha tayari umefanikiwa KU-SUBCRIBE kwenye channel BONGOSTAR FLIX.

4. Unaweza kuondoka YOUTUBE na kuendelea na kazi zako.

ACTION FRIDAY#MOVIE ZA ACTION MWANZO MWISHO#
MOVIE MPYA YA MWANAMKE JASUSI ALIESHINDIKANA KATIKA JAMII.
ENJOY YOUR WEEKEND NJEMA.

Ni mwanamke katili ambae anaua watu kinyama yoyote yule atakaemshuhudia akifanya maovu, mdogo wake Givan na mchumba wake Shani wanakuwa hawaelewi nini kinachoendelea katika nyumba yao na nani anaefanya bila kujua ni mtu wao wa karibu wanae ishi nae mpaka siku ambayo Shani atamshuhudia akiua mtu, Je nini hatima yake uovu huu ulojificha fatilia zaidi.

Back
Top Bottom