Bongo Movie 2018

Bongo Movie 2018

[HASHTAG]#BILA[/HASHTAG] KUSAHAU TAMTHILIA YETU BADO INAENDELEA#TAMTHILIA YUENYE MAADILI NA YAKI FAMILIA YALIKA NA UMRI WOTE,UINAFUDNISHA NA KUELIMISHA JAMAA KWA UJUMLA.
Ni tamthilia nzuri ya kiswahili iliyochezwa Mombasa kutana na mikasa mingi ya kusisimua ikiwepo ya Harun na Saida kulazimishwa kuoana bila makubaliano, pia kutana na Maya aliyebeba ujauzito wa Leo rafiki wa mumewe Joe huku nae Halili akipigania penzi la Harun alietafutiwa mchumba na wazazi wake, Fatilia zaidi mfululizo huu wa kusisimua.

 
WAPENZI WA BONGO MOVIE#MOVIE MPYA#USWAHILINI PATAMU#ANGALIA MAISHA YA USWAHILINI KATIKA MOVIE HII#..
ni movie mpya ya kiswahili inayoelezea maisha fulani ya wakazi wa eneo hilo,visa na mambo wanayoyafanya ikiwemo kisa cha mama mmoja mlevi ambae katika pitapita zake za ulevini anakutana na kijana shakii ambae wanakutana kimwili na kupata ujauzito huku kijana huyo akiwa ni mchumba wa binti yake, Kijana huyo anamposa binti wa huyo mama je itakuwaje baada ya siri hiyo kujulikana fatilia zaidi.


 
[HASHTAG]#MACHOZI[/HASHTAG] YA KISASI# MOVIE INAYOTREND TANZANIA
KATIA YA MOVIE BORA ZA ACTION MWAKA 2018,KAMA UNABISHA INGIA UJIONEE.
Movie ya KIJANA DANNY amabaye shughuli zake ni za uhalifu yani ujambazi,ajikuta katika mapenzi na wanawake wa tatau tofauti na kuwaumiza mioyo yao,wanawake hao wako mbioni kulipiza kisasi kwa mpenzi wao wazamani ambaye ni jambazi sugu mjini.angalia visanga timbwili la kulipiza kisasi kwa bwana DANNY? JE DANNY ATAPONEA KWELI KISASI HIKI?angalia movie upate ukweli?

 
EASTER SPECIAL#BONGO MOVIE COMEDY#INAWALETE VIKONGWE WA COMEDY WA MAIGIZO YA VICHEKESHO#MAJUTO VS MUHOGO MCHUNGU 2018#MOVIE MPYA IANYO TREND#KARIBU. BONYEZA LINK YA YOUTUBE CHINI UWEZE PATA NAFASI KUONA MOVIE HII:

 
MOVIE MPYA YA KICHAWI 2018#MFALME KATILI SANA#ATESA WANA KIJIJI#BONYEZA LINK:

 
JAMANI UCHAWI SIKU ZOTE UNATOFAUTINA MASHARTI INGAWA YOTE MAGUMU#ANGALIA MOVIE FILAMU HII YA KICHAWI#MOVIE YA KICHAWI 2018#FILAMU MPYA YA KICHAWI#ANGALIA NA ENJOY BILA KUSAHAU KU-SUBCRIBE KWA CHANNEL YA BONGOSTAR FLIX KWA FILAMU NA SERIES MPYA:
BONYEZA LINK CHINI:

 
NIMETONGOZA JINI ZANZIBAR MOVIE MPYA 2018#
[HASHTAG]#MOVIE[/HASHTAG] MPYA 2018#ANGALIA VISANGA VYA JINI HILO.BONYEZA LINK CHINI NA SUBSCRIBE:
NIMETONGOZA JINI ZANZIBAR#MOVIE MPYA 2018# ANGALIA MWAMBA AKUTANA NA VISANGA VYA JINI HILO.BONYEZA LINK CHINI NA SUBSCRIBE:

 
ANGALIA BALAA LA JINI MTOTO:YAKUTISHA NA KUSISIMUA#MOVIE MPYA YA KICHAWI 2018

MOVIE MPYA 2018#FILAMU ZA KUTISHA#FILAMU ZA MAJINI 2018#
JINI MTOTO,BONYEZA LINK CHINI HAPA NA ENJOY MOVIE ZETU MPYA:

 
ASHINDA BIKO YA MILIONI 100 NAKUFANYA KUFURU MTAANI.

MOVIE MPYA 2018#MCHARO ASHINDA BIKO#KIJANA ALIKUA MBEBA MAJI#HELA ZA MAWAZO#KWENYE MISHE MISHE ZAKE SASA AJISHINDIA BIKOO..YA MILLIONI 100#ANGALIA SASA MAISHA YALIVYOBADILIKA.NA WALIOKUWA WANAMDHARAU NA KUMKASHIFU.
SWALI KUBWANI NINI HELA ZILIMPOTEZA AU ALIFANYIA VITU VYA MAANA#ANGALIA MOVIE UONE YALIOJIRI KATIKA MOVIE HII#USIPITWE BOFYA LINK HAPA CHINI UKAANGALI MOVIE#

 
PENZI LA HOUSEBOY LA CHANGANYA MAS SUPERSTAR HAWA WATATU#ANGALIA SIRI YA KIJANA HUYU INAYOWAVUTIA MABINTI HAWA WAREMBO#WEMA SEPETU#SHILOLE KIUNO#KAJALA MASANJA#NA MSHKAJI MR BLUE
BONGO MOVIE MPYA 2018#BOFYA LINK HAPO CHINI UPATE NAFASI YA KUTIZAMA MOVIE HII BILA KUSAHAU KU-SUBSCRIBE KWA CHANNEL YETU:

 
MOVIE MPYA YA MSITU WA KUTISHA#ANAGLIA MOVIE YA KUTISHA UJIONEE#VISANGA VYA MOVIE HII YA KUTISHA.
BOFYA LINK HAPA CHINI UPATE BURUDANI SAFI KABISA.BONGOSTAR FLIX#BONGO MOVIE MPYA 2018.

 
MOVIE YA COMEDY VUNJA MBAVU#KWAAJILI YA JUMATATU WATU MNA STRESS ZA MVUA NA WEEKND KAENI CHINI TULIENI#ANGALIENI VUNJA MBAVU..NA FAMILIA ,MARAFIKI,MPENZI,WASHKAJI..BOFYA LINK UPATE NAFASI YA KUANGALIA MOVIE HII
:
 
WADAU WANGU WA BONGO MOVIE#NATUMAINI WOTE MKO SALAMA NA MAFURIKO NA HALI TA HEWA#MI KAMA KAWAIDA NAENDA KUWAPA BURUDANI ZA BONGO MOVIE:

MOVIE :JENEZA#MOVIE MPYA 2018 YA KUTISHA#
TULIA NDANI NA HALI YA HEWA HII:ENJOY MOVIE ZA BONGO STAR FLIX MASAA 24 YA MOVIE MPYA:BOFYA CHINI HAPA KWENYE LINK YA MOVIE BILA KUSAHAU KU SUBSCRIBE:

 
MOVIE MPYA YA KUSISIMUA 2018
INAYOLENGA JAMII YETU YA KILA SIKU#MKE WA KAKA YANGU KATILI#MOVIE MPYA 2018 YA KUFUNDISHA NA KUELIMISHA JAMII:BOFYA CHINI LINK YA MOVIE:

 
WEEKEND IMESHAFIK NDO IYOO TENA#KAMA KAWAIDA NAENDELEA KUWATUPIA MOVIE ZA KI BABE#ACTION,TAMTHILIA,MAPENZI,COMEDY,UCHAWI,USALITI#UKIIHITAJI KACHUMBARI YA MOVIE BASI NDO UMEFIKA #
MOVIE MPYA#FUMANIZI LA MWAKA#GABO ZIGAMBIA#DK.CHENI#WOTE NDANI#BOFYA LINK CHINI ENJOY MOVIE ZETU:

 
MUDA WA KACHUMBARI ZA MOVIE:KATI YA MOVIE ZILZOSIMAMA ZA KATIKA DUNAI LAZIMA TUZINAGTIE MAISH NA FURSA TUNAZOPEW NA MWENYEZI MUNGU,ZINAEZA POTEA MUDA WOWOTE#MOVIE INAITWA ULIMWENGU MAMA#JAQULEINE WOLPER#BOFYA LINK CHINI :ENJOY WEEKEND YA FURAHIDAAAAY:

 
Back
Top Bottom