Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 43
Alikuwa na nguo zaidi ya moja zenye thamani ya shilingi 150,000, na siyo nguo moja.
ulifanya nini baada ya kujibiwa hivyo?
Eti mtu unampa tiketi, anaigeuza geuza kama mtu anayeikagua noti halali, anaiangalia weee halafuu anakuuliza unaenda wapi? Huu si ndo ujinga ? Lakini akija 'mdhungu' anapita fastafasta..
Hii kadhia inanikumbusha siku moja nilikuwa nakwea pipa la madachi, sasa wale wabongo na njaa zao kwenye ukaguzi wa tiketi wanakuja na maswali meengi utadhani upo fuleni ya kuingia sijui mbinguni? Lakini niligundua kinachowasumbua ni kijiba cha roho tu hawana la ziada. Eti mtu unampa tiketi, anaigeuza geuza kama mtu anayeikagua noti halali, anaiangalia weee halafuu anakuuliza unaenda wapi? Huu si ndo ujinga ? Lakini akija 'mdhungu' anapita fastafasta..
...Short and clear answer!!! I like this.................Nilishawai kwenda slipway nika order supu ilivyo fika nikagundua kulikua na inzi wawili kwenye supu, hasira zikanipanda kishenzi nikamwita muhudumu kumwambia kwamba kuna inzi kwenye supu, nikajibiwa "Nikusaidie kuwatoa???".....
limenikuna hili "UNAENDA WAPI?" Swali maarufu sana huku bongo. Niliwahi kuulizwa na askari mmoja swali hilo. Nilimuuliza, Ina maana unaniita kichaa sijui niendako? Niwashe gari nitoke nitokapo bila kujua naenda wapi? Akabaki mdomo wazi! lol
Mdharau kwao ni mtumwa, Kila mahali ulimwenguni kuna ubaguzi na tabia za ajabu ajabu, it better evaluation zenu zisiwe ni sifa za kuwapa wabongo wote nyie WATUMWA.
Ungewala tu babu...maana nasikia eti ni source nzuri sana ya protein....
Wakuu achaneni na hiyo ya ukaguzi wa tiketi na visa uwanja wa ndege ambayo huwa inanibughuzi kinoma, mimi nina experience na walinzi wa bank ya Barclays Arusha...mwaka jana nilikuwa A-town kwa ka likizo kafupi. Nikawa nataka ku withdraw ka pesa kadogo kutoka kwenye account yangu.nikaona ngoja nitumie ATM za Barclays Bank kwa sababu kuna mtu aliniambia wana charge fees ndogo. Bahati mbaya sana au nzuri sana...wakati ninaenda Bank nilikuwa nimeandama na mzungu volunteer wa PeaceCorp. Kwa nini walinzi wasinizuie kwenye gate..wamruhusu mzungu kwenda...hata baada ya kuwaambia kuwa mimi ndio ninayetaka kutumia huduma ya ATM...wakasema ATM zao zina charge fees kubwa kwa Tembo kadi kwa hiyo I am better off kwenda CRDB Clock Tower. Yaani walishakuwa na assumption kwamba I am a Tembo Card holder kwa sababu ni mbongo. Nikashindwa kuvumilia nikawaambia waniitie manager kama hawataki niende kutumia ATM, baada ya kuona hivyo wakaniachia niende, huku nyuma yule mzungu akaanza kupiga nao kiswahili akawaambia kuwa mimi ninaishi Marekani. Baada ya kumaliza haja yangu wakati narudi gateni...jamaa wakawa wananichangamkia kinoma...nikaona hawa washenzi tu. I was so pissed kidogo niandike barua kwenye mgmt ya hiyo bank.
Bongo Darisalamaaa...Kuna kale kasuper market ka Shoprite kapo JM Mall, Samora Ave wale nao ni balaa, kuna siku nienda shopping ya kizushi pale, nikanunua vitu kulingana na mfuko wangu, Kasheshe wakati wa kulipa, Mayonnaise nilioina inameandikwa bei 3000, kwenye kulipia risiti likuwa 3800 TShs, Wine 12,000 kwenye display kwenye kulipia 15,000 Shs kifupi kila kitu bei waliodisplay siyo unayo lipia. Nilikuwa mkali sana, nikaomba aje manager wao mdosi nikamwelewesha na tukaenda cross cheki naye...akasema samahani sana nikalipishwa bei halali nilisevu kitu kama 40,000 hivi...sasa wale wasiocross check huwa wanalipa tu na kuibiwa....Bongo inakeraaa si kidogo.
Unajua tatizo letu nyumbani Tanzania ni umasikini wa fikra especially amongst ourselves. Tunadharauliana sisi kwa sisi..Utakuta mtu ameajiriwa dukani kwa mhindi au position mbovu mbovu ya u teller kwenye bank ya kigeni, basi ukienda kutafuta huduma, these people I call them "gate keepers" watakuangalia kwanza umevaa nini, au una usafiri gani, na vitu vingine kabla ya kudecide wakupe huduma au wakuletee nyodo. Uzuri wa hapa States ni kwamba competition ni kubwa na ukimfanyia mtu "wrong" ubaya utavuma kuliko pale utakapompa huduma nzuri.
Kama wafanyabiashara bongo wangekuwa na concept kwamba sio kila shopper ni lazima awe buyer...na wakawa train hao associates wao kuwa na lugha nzuri ili kuwa turn hao shoppers into buyers....biashara nyingi zingefika mbali sana lakini kwa mwendo huu...mmh inasikitisha.
Point. Niliwahi kufika pale na mtoto wangu ameshika chupa ya maji ambayo alikuwa ameishakunywa nusu. Nikaambiwa haturuhusiwi kuingia nayo ati tunaweza kubadilisha na kuchukua nyingine iliyojaa!!!! #%@^&%#!!! wakati tunabishana wakapita wazungu wakiwa na 'magunia' yao mgongoni, nikawauliza wale askari mbona hawa hawazuiwi wakajibu ati wameweka pesa zao kwenye rucksack zao ndio maana!!! Nikaondoka na kwenda zangu kwa mpemba wa mtaani. na nina kitambi!
Dawa yao ni kuanza kuwarishia ngumi.Wakuu achaneni na hiyo ya ukaguzi wa tiketi na visa uwanja wa ndege ambayo huwa inanibughuzi kinoma, mimi nina experience na walinzi wa bank ya Barclays Arusha...mwaka jana nilikuwa A-town kwa ka likizo kafupi. Nikawa nataka ku withdraw ka pesa kadogo kutoka kwenye account yangu.nikaona ngoja nitumie ATM za Barclays Bank kwa sababu kuna mtu aliniambia wana charge fees ndogo. Bahati mbaya sana au nzuri sana...wakati ninaenda Bank nilikuwa nimeandama na mzungu volunteer wa PeaceCorp. Kwa nini walinzi wasinizuie kwenye gate..wamruhusu mzungu kwenda...hata baada ya kuwaambia kuwa mimi ndio ninayetaka kutumia huduma ya ATM...wakasema ATM zao zina charge fees kubwa kwa Tembo kadi kwa hiyo I am better off kwenda CRDB Clock Tower. Yaani walishakuwa na assumption kwamba I am a Tembo Card holder kwa sababu ni mbongo. Nikashindwa kuvumilia nikawaambia waniitie manager kama hawataki niende kutumia ATM, baada ya kuona hivyo wakaniachia niende, huku nyuma yule mzungu akaanza kupiga nao kiswahili akawaambia kuwa mimi ninaishi Marekani. Baada ya kumaliza haja yangu wakati narudi gateni...jamaa wakawa wananichangamkia kinoma...nikaona hawa washenzi tu. I was so pissed kidogo niandike barua kwenye mgmt ya hiyo bank.