N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Dec 22, 2012 #2 Matumizi bora ya resources!
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Dec 22, 2012 #3 usafi muhimu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Dec 22, 2012 #4 Maisha bora kwa kila Mtanganyika
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,294 Reaction score 9,067 Dec 22, 2012 #5 Thats crazy, anajipaka matope. Kwanini usiweke kwenye ndoo?
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Dec 22, 2012 #6 Kikubwa atakate
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,669 Reaction score 11,769 Dec 22, 2012 #7 Haya ni maji ya mafuriko ama nyumba imejengwa mtoni? Na nguzo ya umeme mu-maji je?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Dec 22, 2012 #8 Raha jipe mwenyewe..
M MLERAI JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 667 Reaction score 275 Dec 22, 2012 #9 Huyu anajitafutia kichocho na minyoo maji ya mafuriko yanabeba kila aina ya uchafu.Hajavua bukta makalio atayaoshaje
Huyu anajitafutia kichocho na minyoo maji ya mafuriko yanabeba kila aina ya uchafu.Hajavua bukta makalio atayaoshaje
mmbangifingi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 2,839 Reaction score 567 Dec 22, 2012 #10 Daaaaaaa! haf mtu mzima kabisa!
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,656 Dec 22, 2012 #11 Usafi muhimu... Haha Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
kibhopile JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 1,514 Reaction score 767 Dec 22, 2012 #12 Aaaaaand cuuuuut!!! Camera roll
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,572 Reaction score 18,001 Dec 23, 2012 #13 Kuoga mtoni raha nyie acheni tu! Ni sawa na kujisaidia kichakani!
MSEZA MKULU JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 3,882 Reaction score 5,896 Dec 23, 2012 #14 hawa ni wale ambao huwa wanalaani mvua kunyesha vijijini badala ya dar
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,211 Dec 23, 2012 #15 Bora angeenda kuoga baharini
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 613 Dec 24, 2012 #16 Afanyeje serikali yake haijamhakikishia maji ya kutosha, acha afurahie kwa raha zake
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Dec 24, 2012 #17 Huyu jamaa ameshaaga kwao!
Rolandi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 920 Reaction score 491 Dec 24, 2012 #18 Anafanana na king kiki, ndio mwenyewe?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,580 Dec 24, 2012 #19 Elli said: Maisha bora kwa kila Mtanganyika Click to expand... Ni maisha bora kwa kila Mdanganyika....
Elli said: Maisha bora kwa kila Mtanganyika Click to expand... Ni maisha bora kwa kila Mdanganyika....