Ladha inatokana na vitu vingi sana ambavyo kwa kiasi kikubwa vinatokana na muonjaji, e.g. expectations, communication prior, during and after the do-do, mazingira, physical condition ya muonjaji (you can expect everything to be the same while years have gone by)... ndio maana unaweza ukawa na mpenzi hata wa 20 years but there are special moments where it FEELS LIKE THE FIRST TIME!!!
By the way mleta uzi, umevurua kizungu karibia nilewe kwa kusoma tu... kiswahili ndio mpango mzima next time;
Aaanh wapi mambo ya kusimika mkuki niliacha "emanyata" huko!!!!
Huyo jamaa labda "kainamishwa" dini zenyewe zinasema hilo linavunja ndoa ye kakomalia "kishimo utamu" khaaaa kwani ni kitovu hicho cha kuzaliwa nacho kikikatika ndio basi???!!!
Ukinikuta na hali hiyo chondechonde fanya jitihada za kunipeleka mental unit!!!!
#mahabarationale
Ndo umeandika nini hapo...ujuaji tu..wengine wana colostomyNiacheee opinion are just like ass.es every one has got one,,,,
Ngoja nitafute mbeba boksi mmoja na moe nijionjee. Ila kuinamishana si ni 'zambi' blaza?
Kwa hali hii cjui radha yng ikoje
Taste zinasababishwa zaidi na vyakula...vyakula vya asili vinaleta taste nzuri zaidi...ndo maana hata kuna mikoa fulani wana taste nzuri zaidi..mikoa ya ndizi nyingi
Si kweli bwana. Ndizi si chakula, lile ni tunda. Sema tu watu wanalazimisha kufanya chakula.
Mkuu Savito, kwa kiasi nakubaliana na wewe ila sio temperature, ingekuwa hive, wale wa Arabuni na Jangwani ingekuwa balsa!. Nadhani it has something to do with tropical, ndio maana Baganda ambao wako karibu na Equator ni hatari!, the same applies to Latino mule South Americal japo kwa Asia sijasikia uhatari wao, ila ukienda Southern Africa, na yale mambo yao huku wakitembea mapaja nje unachanganyikiwa ili ukigusa unakuta nothing!.
Ila pia inawezekana kabisa usikute "the apple is the apple, tastes the same popote, but what ones gets ni pure psychological just in my mind!.
Pasco
Issue ikiwa ni Taboo inazungumzika, hivyo hukuwa na haja ya kujihukumu mwenyewe kwa kufunga mjadala!
Mi naweza kusaidia kutegua huu mtego!!!!