Bongo blacks at abroad: Why do they tastes differently from when there were in Bongo?

Taste zinasababishwa zaidi na vyakula...vyakula vya asili vinaleta taste nzuri zaidi...ndo maana hata kuna mikoa fulani wana taste nzuri zaidi..mikoa ya ndizi nyingi

Sababu ya kisayansi inaweza kunishawishi hii! Ahsante! Sasa tule vyakula gani kuongeza mnato/mvuto/ utamu?
 
so far hapo ili nikushauri better itabidi nipate nafasi ya kuonja befor and after...iliniwe sure ushauri wangu umekusaidi...
ili tuwe more scientific....

Hahahaaa be serious bhana! Vyakula gani Dr Lishe???
 

Everyday is no a Sunday! The "taste" can vary even on daily basis irrespective of geographic location. However, studies do show that high temperature increases sexual pleasure.
 


Mkuu nimecheka sana aisee... Hapo kwenye Rangi
 
Pwani kuna chumvi sana, kama wewe ni mzamaji chumvuni unaweza ukamng'ata mtoto wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…