Bonge moja la dili...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Kwa mwana-JF aliye tayari, kuna deal moja matata, ya ukweli kwa sana.
Aliye tayari tukutane hapo Leaders Club k mida ya saa 1 kwa ajili ya reconciliation afu twende Pande tukaucheki mzigo wenyewe, usalama upo wa kumwaga.
Nasubiri PM zenu wakuu.
 
bado nakushangaa!ofa ya kuja dar nikupe mie alafu unapanga maratiba kibao bila ridhaa yangu we mwanamke unataka nini?pamoja na kukukatia tiketi ya ndege bado unantafuta!

Mtalaka hatongozwi, umesahau kama huu ulikuwa mzigo wangu, nimejiponea sana.
 
nipo na hemedi msangi mwenyewe originaly! twaja! lol!

Ile simu na wallet ameviacha kwangu remember, nasikia mwenyewe anavitaka, no wonder anawezaje kuongea na domo limemvimba.
 
mmmh sio kualikana I.C.U huko jamani kwani nanihi alichezea vitasa wapi??????????????????:spy:
 
bado nakushangaa!ofa ya kuja dar nikupe mie alafu unapanga maratiba kibao bila ridhaa yangu we mwanamke unataka nini?pamoja na kukukatia tiketi ya ndege bado unantafuta!


mweeeeeeeeeee hapo ndo umechemka hasa me naondoka na Zuberi alfajiri ya kesho lol... hata ndege sijawahi kupanda!
 
Back
Top Bottom