Bonge moja la dili...

Bonge moja la dili...

biashara ya wasomali sifanyi.....kama ni wahabeshi.... sawa.....
 
Usije ukageukwa wewe, ohoooo.....

Yule aliyepewa kichapo na wachoma sindano pale Muhimbili wala asikupe hofu, kwanza si mwenzetu.
Sie tuko ngangari vya kutosha, ukiniona mimi ujue backstage kuna kina Abeid kama mia ivi.
 
Back
Top Bottom