kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Mkuu umekosa kabisa mfano mpaka umtaje marehemu mzee Gurumo?una uhakika mzee wa watu alimuomba gari Nasseb?sio lazima kuonyesha mihemko kwenye kila jambo kumbuka kuna watu wanaguswa moja kwa moja na yanayoongelewa umu ndani.
Unanikataza kumtaja mtu aliyekufa? Mbona kila siku tunawataja kina tupac bob marley, nyerere; mangwea nk. Na wote hao wanatajwa kwa maZuri na mabaya!..sasa wewe kinachokufanya ulie lie kitu gani? Gurumo ni marehemu wa kwanza kutajwa humu? Hebu potea na hoja zako mfu! Unaacha hoja ya msingi unaanza kulia lia hapa!