Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
Last edited by a moderator:
muite THE KING KIBA. mbongo pekee aliyeimba na KING OF R&B R.KELLY pia ataimba na CRIS BROWN
Kiba oyeeeeeeeeee
Nzuri kabisa Ruttashobolwa
L Jumaa Mubarak.
Teyyyynaaaaa! Asiyetaka na aache tu,hatutaki mapovu hapa.
Teh Teh nakuona kwenye live band...me nakukaribisha kwenye Nasema nawe dance....
alaf we jamaa nimekushtukia ww ni mnafki wala haupo team kiba
muite THE KING KIBA. mbongo pekee aliyeimba na KING OF R&B R.KELLY pia ataimba na CRIS BROWN
We unasema atawafundisha madogo kama DOMO live band una uhakika!??
DOMO alipokua na show za burundi na na rwanda alipiga LIVE tena in stadium na show zilifana..
So nani aliemfundisha mwenzie hapo!?😕
Unanikataza kumtaja mtu aliyekufa? Mbona kila siku tunawataja kina tupac bob marley, nyerere; mangwea nk. Na wote hao wanatajwa kwa maZuri na mabaya!..sasa wewe kinachokufanya ulie lie kitu gani? Gurumo ni marehemu wa kwanza kutajwa humu? Hebu potea na hoja zako mfu! Unaacha hoja ya msingi unaanza kulia lia hapa!
Naweza kusema haya ni mapinduzi ya kweli katika bongo fleva big up KIBA. kwa hili la kupi show pale DAR LIVE kwa LIVE BAND kweli umetisha kaka huu ni mfuniko kwa wasanii wote tunaowajua akiwemo DIAMOND. endelea kuwafundisha hawa madogo zako mpaka. tuelewane tu.
Fuata maelekezo yafuatayo;-
Ingia You Tube then type "DIAMOND PLATNUMZ IN RWANDA or DIAMOND PLATNUMZ IN BURUNDI"
Ukifanikiwa kufata maelekezo urudi hapa
mkuu nimeangalia nimeona chenga tupu poor concert mkuu,mond bado bado sana kaka