Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Rudisha kumbukumbu zako kwa Kazi Maalumu aliyopewa Mulongo.. badala ya kushughulikia Maendeleo yeye anatumia nguvu zote kuishughulikia Chadema ambayo ameishindwa

Juzi katia alijikanyaga karibia ajitaje akidai wahusika wa mabomu ya Kanisani na Mkutano wa Chadema ni wamoja na mabomu yametoka sehemu moja.. na kwamba wamewakamata.. Kesho yake Polisi wakamkana.

Waunde tume huru ukweli udhihirike..

Ukiwa na muda muulize kikao cha Morogoro kabla ya bomu la Soweto anakijua!?

Duh!! Kuna mengi hapa, haya hebu tupe dodoso juu ya kikao hicho cha Morogoro kaka.
 
Atakuwa kaliweka mwenyewe kuattract attention tu huyo!!!
 
Kama Bomu limetegwa kwa Rc nani kagundua kabla ya kulipuka? Tunataka majibu ya kina? Swali lenye utata inakuwaje kwingine kote yanalipuka kwa Rc lisilipuke liteguliwe? Tunataka majibu

Mkuu una akili sana
 
Kila kitu hutokea kwa makusudi, Wanaodai haki fulani hutumia njia kama hizi haramu kufikisha ujumbe kwa walio juu.
Arusha hakuna mgogoro wa kisiasa wala kidini, ila hali kama hii inatokea ni lazima mtu aumie kichwa kwa kweli. Maana lengo halisi halijukani na hatima yake ni nini kwa sasa.
Inteligensia lazima waamke kwa sasa kujua kinachofikisha Arusha katika hali ya sintofahamu kwa sasa ni nini?
Wana Arusha poleni na Hukuma ya walio na roho mbaya hivi itawajia wangali bado hai...
 
mkuu wa mkoa analindwa usiku na mchana na jeshi la polisi hao polisi waliokuwa lindo hawakumuona huyo aliyetega hilo bomu au nao wanausika kama ulinzi wa viongozi polisi wanashindwa je wananchi wakawaita watakuaje sasa yeye mwenyewe mkuu wa mkoa atafakari kama mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa imeshkufanya kazi
 
Kama Bomu limetegwa kwa Rc nani kagundua kabla ya kulipuka? Tunataka majibu ya kina? Swali lenye utata inakuwaje kwingine kote yanalipuka kwa Rc lisilipuke liteguliwe? Tunataka majibu

Mkuu unadhani makofi wanayojipgaga bongo movie huwa ni kweli? Hawa nao ni bongo movie hawawezi kujizulu wao.
 
Rafiki yangu aliyeko Arusha ameweka hizi picha ambazo zilichukuliwa kwenye eneo la mgahawa ambapo usiku wa kuamkia leo inasadikika kulilipuka bomu
 
Attachments

  • 1404811927356.jpg
    1404811927356.jpg
    58 KB · Views: 191
  • 1404811947027.jpg
    1404811947027.jpg
    66.7 KB · Views: 196
Asubuhi hii askari Polisi na wa Jeshi wameizingira nyumba ya Serikali ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo iliyopo jirani na Mahakama Kuu Arusha wakijaribu kutegua kinachodhaniwa kuwa bomu kikiwa kimetegwa katika geti la kuingilia nyumba hiyo na watu wasiojilikana.

Hat kinjia kinachokatiza maeneo hayo kutokea Mt Meru Hotel nacho kimefungwa kwa muda.

Wakati huo huo kuna taarifa za usiku zikieleza watu kadhaa wamejeruhiwa katika Mgahawa mmoja maeneo ya Gymkhana Jijini hapa na wawili kati yao wako katika hali mbaya.

Hili litakuwa tukio la sita kutokea katika Jiji la Arusha ndani ya muda mfupi, kuanzia May 2013 mpaka sasa.

Tukio la kwanza lilikuwa Kanisani Olasiti watu watatu wakafa.

Baadee katika Mkutano Chadema Soweto watu watatu wakafa tena na mamia kulemaa

Ikafuata Usa River siku ya Mkesha wa mwaka mpya kwa wamama waliokuwa wanatoka kanisani

Halafu katoka Bar ya Arusha Night Park

Juzi hapa ikawa kwa nyumbani kwa Sheikh maeneo ya Majengo

Na sasa katika hiyo Vama Restaurant na chupuchupu kulipua nyumbani kwa RC!

Bora lingempata mulongo maana kanajifanya domokaya sana na pia anahusika na bomu la mkutano wa chadema
 
Maswali ya kawaida kujiuliza ni kwamba; kwa nini mabomu arusha na zanzibar? what is common between the two cities? TOURISM then jiulize who is our number one competitor kwenye tourism east africa? ishu za mabomu ya arusha na zanzibar hazina uhusiano na siasa .we are closing up a gap towards the real perpetrators
 
Safi huenda sasa wahusika wakatafutwa maana polisi wamekua wakitoa majibu ya blah blah tuu
 
Nitafurahi Kikwete atakapochomekwa majiti kama Gaddafi anaharibu sana nchi hii

Hata kama umechoka kwa njaa zako.Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.Huyu ni mkuu wa Nchi huwezi kutukana kama hivi kichwa maji
 
Kwa Mulongo limefanyika igizo tu ili kuendelea kuficha na kupotosha ukweli.
 
Maswali ya kawaida kujiuliza ni kwamba; kwa nini mabomu arusha na zanzibar? what is common between the two cities? TOURISM then jiulize who is our number one competitor kwenye tourism east africa? ishu za mabomu ya arusha na zanzibar hazina uhusiano na siasa .we are closing up a gap towards the real perpetrators
You are very right
 
Back
Top Bottom