Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

Swali zuri sana, Arusha ndo centre of recruitment of potential terrorist, kuna viongozi wa dini wanapita wanawadanganya wazazi hasa familia maskini kwamba wanakwenda kuwasomesha watoto wao Kenya. Watoto wakifika Kenya wanashangaa kwamba mafunzo wanayopata ni karate, baadaye watoto hao hupelekwa Somalia kufanyiwa brainwashing na kufundishwa ugaidi.

Kwa taarifa za ndani ni kwamba wako wengi sana na wanaamini watu wote wasioamini wanachoamini ni makafiri na kwa hiyo wanastahili kifo.

It is time for the government to step up to confront recruiters otherwise there is more to come

Sidhani kama jibu lako ni kweli. Why wachukuliwe arusha tena makafiri na wasichukuliwe tanga
 
Nitumieni salam nyingi sana kwa kamanda lema
 
Mi nadhani Kuna watu wanachokonoa ili mambo flani yafahamike kwa utashi wao
 
So sad kusikia hadithi za alinacha...wakawadanganye watoto wao, hako ni kamchezo danganya toto!!!

Kama kweli hebu tuelezane haya mabomu yanayolipuka kila mara huko Arusha sio yale yaliotengenezwa Uchina, Kweni Mwigulu kaonekana Arusha hivi karibuni? mi siamini kile ambacho wanataka kutuaminisha eti ni ugaidi bali naona ni jamaa wa Mulugo wanatafuta pakutokea (Ushahidi wa Mbowe unawatesa)

 
Kama Bomu limetegwa kwa Rc nani kagundua kabla ya kulipuka? Tunataka majibu ya kina? Swali lenye utata inakuwaje kwingine kote yanalipuka kwa Rc lisilipuke liteguliwe? Tunataka majibu

swali zito sana hili Mulongo kujibu..labda Mwigulu
 
chadema wameharibu mji wa Arusha. Huku Dodoma hatutaruhusu huu ujinga utokee.

Rudisha kumbukumbu zako kwa Kazi Maalumu aliyopewa Mulongo.. badala ya kushughulikia Maendeleo yeye anatumia nguvu zote kuishughulikia Chadema ambayo ameishindwa

Juzi katia alijikanyaga karibia ajitaje akidai wahusika wa mabomu ya Kanisani na Mkutano wa Chadema ni wamoja na mabomu yametoka sehemu moja.. na kwamba wamewakamata.. Kesho yake Polisi wakamkana.

Waunde tume huru ukweli udhihirike..

Ukiwa na muda muulize kikao cha Morogoro kabla ya bomu la Soweto anakijua!?
 
Dodoma tutaendelea kuikumbatia ccm mpaka ukamilifu wa dahari, hatutaki MAPAKA ya chadema hata kidogo!!

Umekuwa msemaji wa WanaDodoma toka lini? Mabadiliko ni sawa na mafuriko utake ustake huwezi yazuia kwa mikono yako na mkeo tu!
 
Wakenya hao wanataka kufukuza watalii Arusha kama ambavyo wamekimbizwa huko kwao na maharamia wa kisomali. Kenya ni noma jamani!!!!
 
Back
Top Bottom