jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,099
- 438
chadema wameharibu mji wa Arusha. Huku Dodoma hatutaruhusu huu ujinga utokee.
Sawa kaka hayo ni maoni yako na hamna anaeweza kukulazimisha kwa jambo lolote ila,nyumba inayolindwa na FFU 24/7(according to post ya hapa jf),tokea lini bomu likategwa bila hao FFU kuona?au walikua wamelala?au walimwona sema wakasema ngoja tuuchne then kesho tuseme?mbwa kamtegea dog ili wamsingizie paka afukuzwe na mwenye nyumba.
Naomba utumie busara ukiwa unachangia hoja mjumbe,usijudge mtu kutokana na chama bali judge kutokana na utendaji na ukijudge kwa chama nadhan hata mtoto wako anaweza anza kulia pindi akiona mzazi wake afikirii ipasavyo afu anamlazimisha mtoto wake afikirie.Nin kazi ya usalama wa taifa?huu ndio wajibu wao kutafta watu wanaofanya haya mambo na polisi pia wakiwemo na sio kupambana na mikutano ya chadema.Mabom yamelipuka mara nyng arusha mbna serikali haijatoa action yoyote ya kua tumemkamata mtu au tunahisi mtu flan kahusika ila kwa kua ni kwa RC then kesho utasikia Lema anahojiwa.Tutumie akili na sio kupelekwa kama vichwa vya wendawazimu